Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we are not out of the woods yet.! infact we could be headed for the worst. seems nuclear rhetorics has surfaced back.! this tyme russia claiming may get compelled to use Atomic Bombs if pressed to the wall
💣💣💣💣 ....................... 💥

Screenshot_20220418-050644_Chrome.jpg
 
Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya biashara ya mtu binafsi kuhusishwa na mikataba ya serikali?.

Taifa gas ni kampuni la mtu binafsi, wameingia mkataba wa uwekezaji na serikali ya Kenya, Sasa iweje tena serikali ya Tanzania inahusishwa kuingia mkataba wa safari za anga?, huo ni muendelezo wa wakenya kudanganya na kutengeneza "stories" za uongo.
Hiyo jambo jet isahau kukanyaga TZ
 
Hehehe Kenya controls everything in Tanzania 😂😂🤣.
Logic Yako ni ndogo, ni sawa na kusema you control Korean movies/drama... Which in reality they are more advanced than yours.

Ukienda Kenya unakuta nyimbo ya Mtanzania inapigwa na hata huyo Mtanzania sio maarufu Tanzania.

Imefika hatua watu wa Mombasa wameanza kuimba bongo flavor.

90% ya Muziki kwenye sehemu za Burudani Kenya wanacheza Muziki wa Tanzania
 
We're the one controlling your entertainment industry, when diamond come to kunyaland to perform who says wave your hands on air between kunyans and diamond?

Who says what and who does what?
Maybe the word control changed it's meaning 😂😂🤣. How can you control the person giving you money and fame?😂😂🤣
 
Juzi tu wakenya mlilamika kwasababu "Tanzanians musicians don't include Kenyans musicians in their "featuring" despite the fact that Kenyans support them, who has got upper hand?
Do you understand yourself? How can you feature someone in your song yet he/she hasn't participated in that song?😂🤣😂
 
Now who controls who here, you consume our commodities from food, fruits, onions, manufactured goods, cooking gas, music, football to our Kiswahili.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We control your economy
We control your airspace
We control your insurance industry
We control your tourism industry
We control your agricultural sector
We control your entertainment industry
We control your stock market
We control your manufacturing industry
We control your employment sector
Kenya is the second biggest source of remittance to Tanzania worldwide.
 
Back
Top Bottom