Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha, wanamziki wa Kenya wanalia na kulalamikia hamuwaungi mkona badala yake Diamond ndio anawachanganya, hivi ninyi wakenya mna akili kweli?,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We move with interest. We follow and support who releases interesting music and that's why you can see people like Otile Brown prospering hata kama alianza kuwa famous tu juzi.
 
Logic Yako ni ndogo, ni sawa na kusema you control Korean movies/drama... Which in reality they are more advanced than yours.

Ukienda Kenya unakuta nyimbo ya Mtanzania inapigwa na hata huyo Mtanzania sio maarufu Tanzania.

Imefika hatua watu wa Mombasa wameanza kuimba bongo flavor.

90% ya Muziki kwenye sehemu za Burudani Kenya wanacheza Muziki wa Tanzania
Tunaskiza hadi nyimbo za South Sudan. That should tell you how flexible Kenyans are, sio nyinyi wenye wamekuamilia mziki moja miaka nenda miaka Rudi😂🤣😂
 
Hahaha, hiyo ni "Forbes" kutoka Kibera sio?, hivi zaidi ya huko kwenu Kenya, alishawahi kualikwa nchi gani hapa Africa?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
There's no Tanzanian artist that can come close to Akothee 🤣🤣😂🤣

images (60).jpeg
 
We move with interest. We follow and support who releases interesting music and that's why you can see people like Otile Brown prospering hata kama alianza kuwa famous tu juzi.
Now you are talking, Kenyan music is not developed compared to Bongo, until then Bongo flavor will remain first choice for majority of Kenyans, not by choice.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
We control your economy
We control your airspace
We control your insurance industry
We control your tourism industry
We control your agricultural sector
We control your entertainment industry
We control your stock market
We control your manufacturing industry
We control your employment sector
Kenya is the second biggest source of remittance to Tanzania worldwide.
If control means buying and consume more goods from a country, then Kenya controls all countries including China, UK, and USA[emoji23][emoji23][emoji54][emoji54][emoji23][emoji54]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hawa watu akili yao finyu sana, ni sawa mtanzania aseme anamcontrol Jayz kisa tu anasikiliza ngoma zake
Wajinga Sana hao, wanavyokimbilia kwenda Ulaya, Tanzania, Amerika na nchi za UAE kutafuta ajira kwao hizo nchi zote wanazi- control.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Serious discussion is usually based on facts and evidences. And that's exactly what I'm doing here.

View attachment 2191536

View attachment 2191537
That list is from Kibera, here is the list from Forbes

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom