Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
🤣🤣😂😂 😂😂Hamna magari, traffic mutatoa wapi sasa.🤣🤣🤣
🤣🤣😂😂 😂😂Hamna magari, traffic mutatoa wapi sasa.🤣🤣🤣
Kwa kujifariji sasa mko vizuri 😬😬If you look at that list, all those countries have bigger GDP and more developed than Tanzania🤣🤣😂. They also have better and longer paved roads than Tanzania.🤣🤣😂
Kumbe hii chuki mnayo mtandaoni lakini kwa ground vitu ni different😅
Kumbe hii chuki mnayo mtandaoni lakini kwa ground vitu ni different😅
Wapi uongo hapo? Tell which country in that list mnafikia hata three quarters ya uchumi wao🤣😂😂Kwa kujifariji sasa mko vizuri 😬😬
Viwanda vyenyewe kumbe pia ni za wahindi according to that MPHabari ndio hio.🤣🤣🤣 Tanzania ya viwonder.
🤣 🤣 🤣 🤣Nimecheka sana aise! Eti wao wako tu na viwanda vya tofali tano na cherehani 😂 😂
He has mentioned cement and sugar as examples of products that are cheaper in Kenya than in Tanzania. Na kila siku hapa tunaambiwa cement is cheaper in Tanzania than in Kenya. They usually say the same about sugar. Blind patriotism ni mbaya sana
Na tuliwaambia uchumi wao umeshikiliwa na wahindi na wakenya wanaona vibaya😂😂Viwanda vyenyewe kumbe pia ni za wahindi according to that MP
Bado wako huku nyang'au
Wacheni kulet vita za kitot,..hamna uwezo kubishan na matajir wa ukanda huu
Huyo aliefanya hii upper cutajengewe sanamu kwenye servers za twitter UK
,
mpaka wenyewe wamekubali

Nyenyenyenye kunyaland ni majuu ya Tanzania
Look at them in Tanzania yapping Tanzania is clean like Amerikka 😂😂😂
Baba Levo alishamaliza hii story.Hivi Kwanini hakuna mtanzania mwenye interest ya kwenda kuparty Kenya as the vice-versa? Watanzania wanakula sana bata huku Tanzania na SA na Dubai lakini hutosikia wala kuona hyper tension of Tanzanians going venture out in Kenya like Kenyans to Tanzania
Next time uwache umandazi...hii sio task ya kuipa Tz....View attachment 2191252