Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ichoboy01 Nissan GTR zimejaa huku kama vile mumejaza IST kwa barabara, bongo hazipiti tano.

Tofauti ya Kenya na Bongo ni eti posh cars ziko kwa wingi.





These Are The 5 Most Expensive Cars in Kenya - Goldabree




Kenya Car Bazaar™🇰🇪 on Twitter: #Nissan #GTR #254Cars. Retweet if you  like💪 http://t.co/dmNltmBRyZ / Twitter
Nissan GT-R 2008 Gray in Karen - Cars, Kibet Abel Kipkoech | Jiji.co.ke


nissan skyline gtr - Opera News Kenya
Paul Walker Remembered in Kenya With Special Memorial Drive - GTspirit


Nissan GTR with liberty walk modes, hii huwezi panda bongo hata ulie.
Liberty Walk GT-R in Nairobi, Kenya. **Photo Credit: Brian Kigen** : r/JDM





JDM Auto Kenya Garage - Uzamart


Automobile Association of Kenya Celebrates a 100 Years in style |

katika magari hii nayo ni gari ???🤣🤣🤣
4F9E9F6A-9401-40C7-824E-FBF6F5D8BD30.jpeg
 
Mikunya milimbukeni sana, tukikaa kimya hamkawii kusema IMF ni ya kenu, au WHO, n.k
Enda ujifunze offshore account ni nini uwache kujiaibisha kwa mtandao. Matters finance Tanzania is a midget. Nchi haina hata any licensed forex broker in 2022, munategemea Kenya. Paypal became available in Tanzania in 2020 mutaendelea kua nyuma tu.
 
Enda ujifunze offshore account ni nini uwache kujiaibisha kwa mtandao. Matters finance Tanzania is a midget. Nchi haina hata any licensed forex broker in 2022, munategemea Kenya. Paypal became available in Tanzania in 2020 mutaendelea kua nyuma tu.
So hata ikiwa offshore ndio unataka kusema ni kampuni ya mkenya?
 
It used to be but now it's changing. Police have become useless I believed Kenya had bad police but Tanzania police sahii is a rotten institution Kenya police look saints compared to Tanzania I know you will dispute but it's a fact that your dispute wount change, Everyone can't be against you. So you believe Nigeria can have an inferiority complex against Tanzania hehe. It's a pity let's wait for 5 more years we know if this will escalate or reduce
Umewahi kufika Tz we kalio.? Au unapiga kelele kwa kesi ya manzi mmoja kubakwa gesti.? 😂😂 Fala kweli we jamaa.. kwahyo kisa manzi mmoja kaliwa gest that means Tz's police hawalindi amani.? Au ndio inamaanisha Tz hakuna amani.?
 
Umeonae, wanatuletea maneno tu lakini hatuoni watu wakiwajibishwa. Pia tunajua kabisa now kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, bila shaka ukila urefu ya kamba yako CAG hana haja ya kukureport. CAG anakaza msuli kukagua report za kipindi ambacho alishatoa report yake, Hivi leo alitakiwa kureport 2020/2021 au 2021/2022?
Kabisa mkuu yanatafutwa makosa yaliyopita. Kama ni kweli wapelekwe mahakamani hatuhitaji ngonjera.

Wawajibishwe kama wahalifu wengine.
 
Back
Top Bottom