Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa unakuwepo mezani kwake ukihesabu vimemo au unajilisha tuu upepo?

Ana mwaka sasa ofisini nani wa kumpa vimemo?
 
Wala Hilo sio tatizo, wao kukurupuka. Kwao kujitanua kwa KQ kumewafikisha wapi?, Kila kitu lazima kuwe na "business plan", Egypt wako na benki zao za ndani zipo na nguvu Sana, umeshasikia zikijitanua hovyo?
 
Wala Hilo sio tatizo, wao kukurupuka. Kwao kujitanua kwa KQ kumewafikisha wapi?, Kila kitu lazima kuwe na "business plan", Egypt wako na benki zao za ndani zipo na nguvu Sana, umeshasikia zikijitanua hovyo?
Nyinyi kujitanua kwa ATCL imewafikisha wapi? Si shirika linaendeshwa kwa hasara but you can't talk about it you lazy fools, kazi ni kutajataja KQ morning to evening. Look at your lives!!
 
Slave report to her master!!
 
Na ndo kinachoenda kutokea DRC with CRDB Bank!
 
Sasa Kama ni "Privately owned" na haziwasaidii wakenya wa kawaida, kwanini mnataka na sisi tujenge vitu ambavyo haviwasaidii wananchi wanaoteseka na shida mbalimbali?
Where did you read that these private companies don't benefit common mwananchi? Ukiingia Naivas au Quickmart utahudumiwa na watu. Hao watu walioajiriwa hapo ni mibongolala? What about suppliers of commodities like fresh veggies and fruits? Hundreds of thousands of Kenyans depend on these companies for their livelihood either directly or indirectly so punguza nyege and take your time to analyze issues before ranting
 
Where did I say that they are leaving the Tanzanian market? It's well stated that they are exiting their business and consumer banking services in Tanzania to focus on corporate banking. Swali ni je, why didn't they do the same for Kenya? Mbona hawakukatiza hizo services zao Kenya pia?

As per StanChart's evaluation, Tanzania is a small market and this is why they said they want to focus on bigger and robust markets. Its focusing it's resources to areas where it can have the greatest scale and growth potential. Soma paragraph ya mwisho kwenye hiyo screenshot yako ya tweet utaelewa ninachomaanisha
 
We don't have to lead in Tanzania where banks are closing some of their operations. We are in Tanzania to do business, just like any other banks. A bank like Equity is already making a lot of money in Kenya than all your leading banks combined

Ile siku mtakuwa aggressive enough and your small saccos that you call banks start making serious money njoo kwenye meza ya mazungumzo. Kwa sasa bado sana
 
Equity Company as whole you mean ?...

Point yangu ya kwanza umeielewa lakini..equity might be leading in KE UG huko but in Tanzania ..Tanzania Banks control most 99% of money
Kwani Kenya ndio umesikia kuna benki ya kitanzania inaongoza kwa performance? Point yetu ni kwamba, we have our banks operating in your country and are making profits and you have none in Kenya. Our second point is that your ten leading banks' performance can't even match the best performing bank in Kenya. Umetuelewa sasa kaka?
 
Nyinyi kujitanua kwa ATCL imewafikisha wapi? Si shirika linaendeshwa kwa hasara but you can't talk about it you lazy fools, kazi ni kutajataja KQ morning to evening. Look at your lives!!
Hahaha, ATCL, two years in business tunakwenda nchi 8 tu za Afrika, huko ndio kujitanua?, Sisi tunakwenda kwa hesabu za biashara, sio Kama ninyi
 
Hahaha, ATCL, two years in business tunakwenda tunakwenda nchi 8 tu za Afrika, huko ndio kujitanua?, Sisi tunakwenda kwa hesabu za biashara, sio Kama ninyi
Hizo hesabu za biashara imewaingizia faida ya shilingi ngapi? Mbona swali rahisi tu umeshindwa kujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…