Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sub-Saharan Africa tunaongoza in intra transactions on remittance hata South Africa tumeipiga chini, mafukara ya kunyaland na watu wa Uganda wanaona Tanzania ni ulaya yao, you come here to realize Tanzanian dream [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwambie kwa taarifa yake tuu hapa Tz wako watu wengi toka Congo, Rwanda Burundi Malawi Zambia Mozambique etc na wote wanapeleka hela kwao.
 
You work for us we gain profit and reimburse you a little for your labour to share with your families back home. Sasa kama unajua economics nani amegain hapo?
Kama middle class wanaishii hivi, that gain must be very minimal.

 
Jamaa huwa anapanic haraka halafu hapendi kujibu sms za mtu ambaye hajamzoea hasa zikiwa zenye hoja za kumpinga.

Kwahiyo huo ni udhaifu wake anapenda kuwa mr right, nachelea kusema atakuwa first born kwenye familia yao.

Hawa huwa wanachangamoto sana kwenye kupingwa, hawataki kabisa kukosolewa.Wanaconclude kama wanaonewa fulani hivi.
 
Kaachiwa simu akasahau ku edit maneno pale chini, kuna siku aliweka mipesa humu kumbe ya mtandaoni leo kajichoresha tena, kajamaa kafukara sana haka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa unawaumbuaga hawa watu.
 
You work for us we gain profit and reimburse you a little for your labour to share with your families back home. Sasa kama unajua economics nani amegain hapo?
Always the boss can't pay you over your input, Makampuni yote duniani yangefilisika 😅😅😅😅
 
"Kula sawa na urefu wa kamba yako"
Mil789÷68= 11 m
Duuhh kaka hii sasa kufuru, yani pikipiki moja hizo zinazofanywa bodaboda inauzwa milioni 11? Mama anaupiga mwingi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Kula sawa na urefu wa kamba yako"
Mil789÷68= 11 m
Alafu kuna kidonge naskia kimenunuliwa milioni 200 cjui milioni ngapi vile wajuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…