Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We take money from your country and bring them home. Why can't you ask yourself why that can't be said of Tanzania? It's because your people can't work in Kenya apart from begging 🤣😂😂
Pengine hajui meaning ya remittance. 🤣 🤣 🤣
 
Supermarkets are always cheaper than those stores if you don't know. Again in supermarket, there is no wastage of time since almost every product is under one roof contrary to your stores where you can't find food and vehicles being sold under one roof.
Mnajukweza sana hivi pale kwenye more than 2M population kibera kuna supermarket ngapi?
 
Umeshindwa kithibitisha kuwa sio Mtanzania!

Ila sishamgai, ni reasoning ndogo ya infinix x657.
The guy is an Indian, just like Mo dweji and many more indians born in Tanzania. Soon you will start claiming Kenyans to be Tanzanians just because they were born there🤣😂
 
Ambazo hata hivyo ni pesa kutoka Tanzania, mafukara hamna uchumi wowote bila Tanzania 😂😂😂😂


Tunafanya biashara, tunachukua pesa yenu tunaweka kwa mfuko yetu. That's how business works. The one who gains more on the difference wins.
 
Tunafanya biashara, tunachukua pesa yenu tunaweka kwa mfuko yetu. That's how business works. The one who gains more on the difference wins.
So our economy is superior, Huwezi kwenda failed state ukapata cha kukutosha na ziada ya kusaidia mafukara wenzio home 😂😂😂

Muiheshimu Tanzania sababu ndio powerhouse economy
 
Yah because we are the Rich country, ushawahi kusikia remittance inatoka nchi maskini kwenda nchi tajiri?
So you are richer than China because a lot of remittance are coming from Tanzania kuenda China. Ama meaning of remittance ndio Hujui?🤣🤣😂
 
Kwa sababu most of perishable foods like vegetable, fruits mna import ndio maana mna struggle sana kusupply kwenda kwa final consumer . Vitu kama hivyo vipo kwenye masoko kama kisutu, Magomeni , Buguruni yaani kwenye wards kuna soko la fresh food ambavyo daily vinakuja na vinatumika , huko Mabibo , Mwananyamala , tegeta na sehemu zote kuna masoko ya fresh food
 
Nimewaambia mlete hata 10 million dollars project financed by your peanut schemes lakini Hola

Hiki kiwanda ni kikubwa kuliko kiwanda chochote kunyaland


Go learn something little about market cap kisha urudi tuendele na huu mjadala. Your reasoning is too shallow.
 
Back
Top Bottom