Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

assistant slums capital of Nairobi

 
Sasa Kama Uganda waliweza kuwafurusha Mogadishu hawajisifu, vipi ninyi mnajisifu kuwafurusha Kismayu tayari wameshadhoofishwa na Jeshi la Uganda?
Nani amekuambia kwamba walidhoofishwa na Uganda? Wakati Uganda wanaingia Somalia Alshabab ilikuwa inacontrol Somalia nzima. Ilikuwa na nguvu ajabu. Baada ya kufurushwa Mogadishu na kuhamisha makao yao hadi Kismayu, bado Al shabab waliendelea kucontrol maeneo mengine yote ya Somalia isipokuwa Mogadishu. Sasa Uganda wenyewe walikiri kwamba hawawezi kuwafuata Al shabab kila mahali. Kenya iliondoa Al Shabab sio tu Kismayu ila Jubbaland yote. Jubbaland ni mkoa huko Somalia. Somalia ina mikoa minne tu. Mkoa wa Jubbaland ni mkubwa kushinda size ya Rwanda mara nne. Rwanda nne zinaingia ndani ya Jubbaland.
 
Who's he and who knows all this? Is jero slang for 500 started in Kenya?
 
Hivyo ni viwanja au majaruba ya mpunga una vilivyo na mabonde kama matuta ya viazi.
 
mtu kashiba maruu na mtura halafu anashukia mabati rollings namna hiyo?
Hio ng'ombe kwa nini inaruka mahali panapojengwa ambapo inaona vizuri pameezekwa mabati? Hata wazimu hawezi kuruka hapo.
 
Anyway let me go dipper

Miaka ya themanini katikati (1984 - 1986) Gari lililokuwa linaonekana la kisasa na la thamani kubwa lilikuwa ni gari aina ya Pajero.

Mitaani kukatokea kuthamisha pesa na pajero kama kitu cha thamani (rejea neno mpunga saivi lilivyochukua maana ya pesa) hivyo miaka hiyo 500 ilikua ni note ya thamani kubwa sana tofauti na kipindi hiki

Na hivyo kupelekea kuiita shilingi mia tano "Jero" kwa kufupisha neno Pajero.
Voucher za Jero-Jero zilikuta tayari Jero imepata umaarufu japo na yenyewe ilirejuvenate the slang Jero na kuipa uhai mpaka leo

500 ilikua na thamani kubwa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…