Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu unajua kwamba Kitendo cha Magufuli kuzuia safari za nje na yeye mwenyewe kutosafiri hovyo ndio chimbuko la ununuzi wa ndege za ATCL?, Je safari za Kikwete zilizaa kitu gani ambacho Leo watanzania tunaweza kujivunia?
Ndiyo hiki kitu kinanifanya nisimkubali JK, safari kibao legacy hakuna, now anam supervise mama aende mule mule zen atuletee net na madeni.
 
Mtoe wapi pesa ya hizo project kwa hii👇 pato na budget zaidi ya pato plus deni? 😂 😂 😂 😂 ..,kama Tz taifa fukara can do it, Kenya's economy can pull such times 2, ata Uganda, so wacha ujinga..,😂😂😂😂


 
70% mpo mafukara halafu unakuja kutufundisha nini

View attachment 2186973
Nyie itakua 90%.., haukwepi, mko hovyo..., ngoja poverty index, hamkombolewi, hypothetically mko hovyo zaidi, things have not gone well since covid, kama prior to covid mlikua na fukara wengi wa kutupwa, sasa na uchumi hafifu plus issues kibao, mko wapi? nanii nyie ndio mlikua mabingwa wa ufukara wa kutupwa both SADC na EAC, sasa mmepata mpinzani wenu DRC, na bado watawa acha kule 🤣 🤣 😂 😂 😂
 
Sasa Kama Uganda waliweza kuwafurusha Mogadishu hawajisifu, vipi ninyi mnajisifu kuwafurusha Kismayu tayari wameshadhoofishwa na Jeshi la Uganda?
KDF did it single handedly in Kismayu,kwenye makao makuu na nguvu ya Al shabaab, in Mogadishu kulikua na Somali army who had some control, and other amisom groups plus UN.., it was not the headquarters ya Al shabaab kwa vile hawakukua wameuteka wote, they didn't have full control.., wivu inakusumbua tu.., unasikia vibaya for any positive achievement ya Kenya, inakuuma sana 😂😂😂😂😂
 
Una uhakika? Je kama kuna matibabu?
 
🤣 😅 😁 Hahaha wacha mama akule raha. Hata kama wewe au mimi tungepata nafasi ya kuwa rais tungekula raha hadi dunia itutambue na kuzunguka duniani kote hadi nchi zenyewe zikatae kutupatia visa ya kutembea huko. Au unadhani hatujui tabia za Waafrika? Ni kawaida mwaka wa kwanza rais kujifurahisha. Ila 2 weeks kupiga kambi katika nchi ya wenyewe ni nyingi mno. Anataka kuwa raia wa Marekani au nini? 😅 😁
 
Hii Dandora imeshinda. Infact this Azam thing is a field and not a stadium
True, btw, the notion Tanzania has better stadiums than Kenya is very false. Ukitoa Benjamin Mkapa stadium hakuna kitu hapo. In Kenya we have so many small stadiums built by County governments huwezi hesabu.

Dandora stadium


Bukhungu Stadium, Kakamega




Kirigiti stadium under construction, Kiambu





Nyayo stadium, Nairobi




Kenyatta Stadium, Machakos



Kinoru stadium, Meru



Joho Stadium, Mombasa

 
Acha uongo, 500 inaitwa Jero sababu ya voucher za 500 kutoka mtandao wa shivacom uliokua unatengeneza voucher za karatasi zinaitwa shivacom Jero-Jero

Kwanini mnapendaga kulazimisha Tanzania recognition? 🤔

View attachment 2186722
no no no.... the fact still remain, anything associated with 500/- that's is either pirated, overprinted, corrupted, money laundered, questionable, controversial but generously distributed, is actualy wht am referring to as 'Jero' aka 'Jerongo'.. that name obviously originated from kenya, and derived from Cyrus Jerongo.... sijui Tony254 ako wapi atoe maoni yake

 
Punguza nipasho weka data kama hii ewe fukara

 
Gharama za izo safari kwa hesabu za haraka haraka na kwa makadirio ya chini kabisa sio chini ya dola milioni 5 yani zimekua kero, uhuru ndio kiongozi mkubwa ukanda huu aliyekua anaongoza kwa kusafiri ila mama kampiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…