Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji16] [emoji16] [emoji16] hili battle linawenyewe mimi siliwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
wakati wa uchaguzi wa kenya siku kadhaa zilizopita,wakenya wa JF walitaka kutumia excuse ya uchaguzi wao kuikimbia hii battle.

eti walidai wengi wao walirudi ushago kwao(kenya vijijini) kupiga kura.smh


tukatumia fitna ya kuwapiga vijembe vya hapa na pale, hatimaye wakareajea japo kwa uoga.

mpaka leo tupo nao hapa tunawaburuza na kuwachezesha mziki vile tupendavyo.

halafu hii thread ni moja ya thread inayotembelewa sana na watu.
viewership yake ni kubwa sana kushinda hata zile thread zenu kule jukwaa la MMU.

karibu sana mdau.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Angalia pia vigezo Nairobi ni kama Moro mji bila bahati DAR we have a lot of beaches to enjoy our life with strangers, Indian's ocean smooth air condition na vitu kaza wa kaza



Sent using Jamii Forums mobile app
yeah.. ni kweli. Nairobi na Moro zote ziko inland.
lakini ukiangalia infrastructure between dar na Nairobi.... unaweza kusema ni jiji gani lililo endelea na kujistawi
 
Back
Top Bottom