nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
mkuu, hii ipo sehemu gani ya Tanzania?
Apartments kama hizi zinajengwa Nairobi na Mombasa mingi sana. Hizi ndio vitu zinawashtua sahii.😂🤣😂
Fake news.Ndugu zetu wakenya kuna huu ujumbe wenu hapa:
endelea kutikisa matakoFake news.
Hili jengo Wakunya walikuwa wanadai ni Nairobi!mkuu, hii ipo sehemu gani ya Tanzania?
Why show me TBT when the current state of that port is all muddy
hahhahahahahahaha, wakunya bwanaHili jengo Wakunya walikuwa wanadai ni Nairobi!
So kama renders zinafanana tusipost?[emoji23][emoji23][emoji1787] Again, is that project in Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Hil jengo nishaona humu ndani Wakunya wakidai hii project ipo Nairobi!
Tanzania can't have projects like these. Jazeni zile tower zenu tatu kwanza ndio muanze kufikiria about new projects [emoji23][emoji1787]mkuu, hii ipo sehemu gani ya Tanzania?
Why show me TBT when the current state of that port is all muddy
Mambo ya msingi kama haya hawayajadili humu, ila Kadri wanavyoongeza tax kubwa kwenye chakula ndio pesa yao inavyopoteza thamani mpaka 2025 1000 ya Kenya itakuwa sawa na ya Uganda 😁wakenya watakula mawe sasa 🤣🤣🤣
ni Mungu pekee atawakomhoa😂😂😂
Wanasemaga wao wapo kwenye services economy level, kwahiyo suala la kulima ni la wa Tanzania, wao watakuja kununua, sasa acha Mzungu awauzie kilo 1 ya unga elfu 5 ndio watajua mahindi yanalimwaje!tangu lini ww ukawa mhasibu wa mgodi wa tanzania ??🤣🤣🤣🤣
shughulika na ushuzi huu kwanza
Tuzungumzie mahitaji muhimu kwanza Kama chakula kuwekewa Kodi huko KenyaTanzania can't have projects like these. Jazeni zile tower zenu tatu kwanza ndio muanze kufikiria about new projects [emoji23][emoji1787]