Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndiyo bandari inayo receive gari nyingi kuliko bandari yoyote East and Central Africa, R.I.P JPM, SIMBA WA YUDA.
Chunguza kwanza, yaani hamjijui, wacha nikucheke tu, ni weekend๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nje ya Dar nothing can be compared to the 5th town ya Kenya on average, hiyo nimefanya utafiti nemeona, ata google earth itakupa majibu mwafaka, Mwanza ya pili ndio hovyo sasa hii kijiji inaitwa Dodoma itaweza?., hizi kelele ata vi town vidogo vidogo hapa Kenya has residentials far better zinaweza toa dar kamasi., mnajitekenyaga tu.., clueless Tanzanians, yaani aka ka estate ka kwanza ka maana in Tz nje ya dar inakupea kiwewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Na lazima SGR itapata mzgo tu kwa namna hii...

Nngekuwa TPA nngefikiria kujenga Berth nyingne ya Roro ..anyways statistics zinaonesha toka hii roro berth mpya imefunguliwa Meli za Magari zimezidi kuongezeka
Tunaendelea na upanuzi wa bandari Ziwa Tanganyika na mzigo umeanza kuongezeka ๐Ÿ‘‡



 
Baada ya CRDB Bank kushusha viwango vya riba sasa ni zamu ya NMB Bank.

Tukutane Jtatu kwenye gawio na kushusha riba ๐Ÿ‘‡

 
Magari yanayo baki Tanzania ni 1105 pekee.., kelelee mingi na mnanunua gari chache.., na sio mara ya kwanza, kuna siku pia a ship docked na magari mia saba pekee yalibaki Tanzania, mengine yote was on transit, ukitaka evidence sema๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜….., soma hizi taarifa vizuri.., ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜… so it will only benefit your sgr ku transport them., wengine mtabaki pale vijiweni kwa zile nyumba zenu za ovyo mkiota ndoto ya kumiliki gari..., dreams are valid, don't give up.

  1. The Citizen
  2. News
  3. National

โ€˜Frontier Aceโ€™ docks at Dar Port carrying 4,041 vehicles​



FRIDAY APRIL 08 2022​


Summary​

  • Frontier Ace a vehicles carrier that was built in 2000 and is sailing under the flag of Panama with a carrying capacity of 17693t DWT and her len
ADVERTISEMENT


By The Citizen Reporter
More by this Author

Dar es Salaam. Tanzaniaโ€™s principal port of Dar es Salaam has on Friday, April 8 received cargo vessel Frontier Ace carrying 4,041 vehicles becoming the first consignment of its kind.
The ship according to details has arrived at Dar Port from Singapore after a journey of 10 days.
Frontier Ace a vehicles carrier that was built in 2000 and is sailing under the flag of Panama with a carrying capacity of 17693t DWT and her length overall is 189.45 meters and her width is 32.2 meters.
Of the vehicles on board 1105 are set to remain in Tanzania whereas 2,936 are on Transit to other neighboring countries such as DRC, Uganda, Zambia, Zimbabwe, Malawi and South Sudan.
Speaking at the port Minister of Works Prof Makame Mbarawa, called on TPA to improve their efficiency in offloading goods.
In August 2021, the port made history when it received the first vehicle carrier Tranquil Ace which was 199.95 metres long with a width of 32.2 metres.
The ship was carrying 3,743 vehicles, of which 2,945 vehicles (65 percent) were in transit to other countries and the remaining 798 vehicles were for Tanzania.
 
Mbona kama Google earth inakukataa hv[emoji848]

Arusha vs Kisumu[emoji116] #Zingatia hzo kmยฒ

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20220409-110457.jpg
    59.6 KB · Views: 28
Mkuu, usimkubalie Tony254 kirahisi rahisi ili kumridhisha, Kuna kila dalili kwamba hajui analolisema, au anajitetea kuficha udhaifu wa nchi yake.

Mkuu, Moja ya tatizo kubwa Sana linaloikabili Africa ni kukosekana wataalamu na wasomi wabobezi, sababu kubwa zinazosababisha Hilo tatizo ni
1)Uzalishaji mdogo wa wataalamu
2)Wasomi na wataalamu kutoroka na kufanya kazi Ulaya na Marekani(brain drain)

Nchi za Ulaya na Marekani ziliamua kwa pamoja kusaidia kuwasomesha wataalamu kwa kutoa "scholarships" kwenda kusoma katika nchi zao, lakini wameweka masharti kwamba, kila atakayepewa hiyo "scholarship" lazima arudi na kufanya kazi nchini kwake alikotoka.

Ni jambo la kushangaza kusikia muafrika anayesema kwamba, eti nchi za Afrika zipo na wasomi/wataalamu wengi zaidi kiasi cha kuwaachia kwenda kufanyakazi Ulaya na Amerika.

Mfano mzuri Kuna "article" Moja niliisoma ilisema kwamba, Idadi ya "Neurosurgeons kutoka Afrika waliopo UK, ni kubwa kuliko Neurosurgeons wote waliobaki Afrika[emoji23][emoji23][emoji23]

Hao waalimu na nurses hapo Kenya na Africa ambao hawajapata ajira, ni kwasababu ya upuuzi wa nchi za Africa(Africa produces what it doesn't consume, and consumes what it doesn't produce).

Muulize Tony254 akujibu, ni wataalamu gani wanaotoroka Kenya kwa wingi?, Utagundua kwamba ni Doctors, Engineers, Pilots, IT specialists, na zile hot areas of specialization, hapo Kenya bado wanawahitaji dearly.

Ni kichekesho kusikia mkenya akishabikia wataalamu wao kwenda kufanyakazi nje ilihali Kenya iliomba Cuba iwasaidie madaktari kuja kuziba pengo la uhaba wa madaktari nchini Kenya. Muulize Tony254 Kama Kenya Kuna tatizo la"brain drain au hakuna?"[emoji23][emoji23]
 
Kawaida ninyi wakenya hamna akili na mara nyingi tunawaambia mtuige sisi watanzania, ila baadhi ya viongozi wenu wameanza kupata akili na kuiga Tanzania katika maaumuzi yenu UN[emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe unapaswa kueleza faida ambazo Kama nchi itapata vs hasara. Sasa wewe unazungumzia wakenya wachache walioko nje ya nchi kurudi na kupewa uraia.

Kama kweli wewe unajielewa, weka faida za "dual citizenship" na Mimi nikuwekee hasara zake kwa nchi na wananchi walio wengi Kama utachomoka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwanza, hio ship imebeba 4000 cars haimaanishi zote ziko destined Dar [emoji28]

plus really, Kenya still imoports more than double the number of cars imported in TZ per annum [emoji1787][emoji1787]
Ninyi mpo na matatizo ya kutokubaliana na ukweli kwamba, Tanzania now is unstoppable", muda sio mrefu mtakubaliana na huo ukweli, "we understand what you are going through"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ