Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna "economist" yoyote makini atakayesema kwamba "remittances" ni Bora kuliko "brain drain". remittance/money vs job creation within the country.

Hao wasomi walikosa ajira huko Kenya, ufumbuzi sio kwenda kutafuta ajira huko nje, ufumbuzi ni kutumia Elimu Yao kutengeneza ajira.

Ukweli ni kwamba 70% ya waafrika wasomi wanaofanya kazi huko nje ni "cream and most intelligent" wengi walikuwa wameajiriwa, tena serikalini, hao unaosema waalimu na nurses ambao hawajapata ajira, wengi ni daraja la chini ukilinganisha na waliotoroka, Sasa Kama hata Kenya ameshindwa "competition"ataweza huko nje?
 
Nimekujibu kuhusu Hilo la waalimu na nurses wasiokua na ajira hapo juu, soma vizuri utaelewa, hakuna mchumi wowote atakayeunga mkono "remittances vs brain drain, kumbuka hao wakenya walioko nje ya nchi, Kama wangebaki Kenya 95% wangeajiriwa, kwasababu wengi wao ni "First class"
 
Mkumbwa gani huyo aliyefanikiwa mpaka kuifumba macho Serikali ya JPM wakampa Msalato Airport na Phase 2??[emoji848][emoji28]
Heheheheeee, huyu contractor kama Magufuli angelikuwepo amini nakwambia asingepewa tender nyingine, tayari amesha prove failure. Inawezekana kweli kuna watu wana hisa zao wakamzuga mkulu lkn wameshashindwa so haiwezekani kuvumiliwa tena.
 
Fanya hivi wewe endelea kuamini unachoamini. Mimi nakupinga 100% kwa kila ulichosema. Nakupinga kabisa kwa kila ulichosema. Sasa wacha mjadala uishie hapo.
 
A reason why inspection is done at the the country of origin!

CC: Simon
Hii nchi ya kinafki kweli kweli, kwasababu aliyeasisi ukarabati huo co Rais kwa ss basi wanaogopa hata kumtaja wkt anatokea chama chao hicho hicho, hii nchi tunahitaji kuipiga chini CCM kwa gharama yoyote ile, ni chama cha kinafki sana.
 
I know these things are new to you😂😂🤣🤣👇👇

 
Ati Russia Ni superpower!!!
Two months imewashinda kuiteka Ukraine with 200b GDP!!!
Ebu imagine US kama wanaweza shindwa kufika Mexico city with 1trillion economy!!!
Russia Ni bure sana
Kwani nchi kuwa na GDP ndogo ndio nn, nyie kila siku mnashikishwa ukuta na Somalia je hao Somalia wana GDP ya kiasi gani? Wakenya hamna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…