The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Hata Jana Bungeni Naibu Waziri wa Ujenzi amesema Rais karidhia kutangazwa kwa kipande kingine Cha Kaliua-Mpanda-Karema Ili contractors waanze ku submit bidsPesa ipo tayari, ujenzi unaanza time yoyote
Amalize hiyo vita anatuharibia uchumi mbwa mkubwa huyo..mambo yanavyoendelea huko dunia.. kuhusu hii vita RussiaVsUkraine.. Russia ni bingwa.. kajipanga kila eneo.. sidhan kama imemuadhiri kama wengine dunian walivyoathiriwa
Ni Mtanzania mwenye asili ya Afghan ,huku tunawaita Waburushi na kazaliwa Tzn.Ni Muhindi ama Mwarabu huyo?
Hakuna jamii itakosa watu dizaini hii na pia background ya malezi ya Tzn wamezoea kulishwa propaganda na uongo.Sijui mbona wengi wenu hawapendi ukweli na utafiti wowote kwao not favoring their ego ni uchwara 😂.
Keyword - mwenye asili ya Afghan.Ni Mtanzania mwenye asili ya Afghan ,huku tunawaita Waburushi na kazaliwa Tzn.
Eti kubwa mara 5 ya Karen. Heeheee 🤣🤣American; the most beautiful neighborhood in Africa 😅
35 kilometers from CBD
Kubwa mara 5 ya Karen and no one talks about it here!
Ununio!
mara ya kwanza ulitaka ww3 itokee ..umeona effects zake..still tz imports most of its cooking oil..and 40% of sugar ..we nees to improve on this and become net exportersAmalize hiyo vita anatuharibia uchumi mbwa mkubwa huyo..
Ukifikia turning point unasema liwalo na liwe..mara ya kwanza ulitaka ww3 itokee ..umeona effects zake..still tz imports most of its cooking oil..and 40% of sugar ..we nees to improve on this and become net exporters
I'm trying to think how Geza will turn this into a Kenya bashing point.
Kwa mfano Gondwe alivyokuwa mkuu wa wilaya temeke alikua anakagua huo mradi kuwaambia warudie sehemu zenye ufa pamoja na malipo za wafanyakazi kulikua na migogoro mingi . Sasa hivyo kaamishwa . Hao wachina wanazingua na wenye mamlaka hawataki kuwachukulia serious action . Ngoja tuje kuona matokeo ya huo mzahaMi najiuliza mbona inaikalia wizara ya Ujenzi namna hii? Naskia Sinohydro huyuhuyu kapewa tender ya Dodoma Airport! Alitokea Kenya! Mbona Starbag asipewe aendelee? Hata kwenye ujenzi wa meli kampuni za kikorea zipewe tenders!
hawa wakenya ni vitukoNa hapa kuna mtanzania mmoja ame invest Kenya kwa kuchukua petro stations zote za Hashi energy, sasa ngoja nitafute uone ame invest kiasi gani alafu mje muone utofauti wa Tanzania na Kenya as far as the term economic control is concerned.View attachment 2177376