Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe 1% of your is now at work[emoji23][emoji23][emoji1787].

How is $1.2 fuel price in Kenya is three times $1.09 fuel price in Tanzania? Who bewitched you people?[emoji23][emoji23]
 
Mkuu ulinishauri niachane naye nami nikafuata ushauri wako nikamute, sasa nami nakuomba mpotezee tu ataacha mwenyewe. Ukimpa attention anajiona anafuatiliwa. Hata akikutukana usimrudishie tusi shida yake ni ya kisaikolojia zaidi,aliumizwa mahali fulani hasira zake zote anazipeleka kwingine. Muache ajione kwamba yeye ana akili nyingi sana kuliko watu wote humu ndani. Ignore tu my brother.
 
Iko wapi ss, nyie makaratasi yenu huwa yanaonesha kila kitu mko juu kuliko nchi yoyote duniani lkn uhalisia ndiyo kama huu watu wanakuja Tz kununua wese [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hamna magari ya kutumia fuel mtasaidiwa aje? Si heri tuwasaidie kuzimaliza.
 
Kumbe wewe ndio uko na mavi kwa kichwa.., soma taarifa ujue chanzo cha low supply., Kenya sio Tanzania nchi kubwa ya watu wengi alafu ni fukara😛😂😂😂

State to penalize fuel dealers for hoarding as crisis persists​

TUESDAY APRIL 05 2022

Petroleum PS Andrew Kamau. FILE PHOTO | NMG

The state will fine fuel marketers accused of hoarding petrol and diesel as it released Sh8.2 billion subsidy arrears to petrol retailers to ease nationwide fuel shortage and forestall a crisis.

Petroleum Principal Secretary Andrew Kamau said on Monday that investigations into the shortage were being finalised, setting the stage for financial penalties and licence withdrawals.

He added that the supply hitches that caused the nationwide fuel shortage are expected to ease from Thursday after oil marketers steeped supplies to stations from depots.

“By Thursday we will be back to normal, today we paid Sh8.2 billion to the marketers and since yesterday (Sunday) depots were opened and marketers have been working to refill their stations,” Mr Kamau told the Business Daily.

The marketers are said to have gone slow in evacuating their products from the depots to protest delays in the payment of subsidies to the companies.

The government says it owes the companies Sh13 billion and on Monday released Sh8.2 billion to the dealers, who claim to be owed in excess of Sh20 billion.

ALSO READ​


The respite cannot come soon enough for the frustrated motorists who have formed long queues at petrol stations for days due to the biting shortages.

“This is an artificial shortage,” Mr Kamau said. “We are aware of the hoarding issue and we are dealing with it. You (marketers) can lose a licence but we do not want to go there for now. After the crisis, something must happen because there are conditions attached to those licences.”

The Petroleum Act of 2019 imposes a fine of Sh10 million or five years in jail for dealers who sell fuel above the price set by the Energy and Petroleum Regulatory Authority (Epra). Those caught hoarding fuel risk fines of not less than Sh1 million or one year in jail or both.

The energy regulator Epra has also threatened any company found hoarding fuel with deregulation.

Kenya is reeling from a surge in crude oil prices since last year, which has forced it to start subsiding retail prices.

The government rolled out a fuel subsidy in April last year to cushion consumers from the surge in the price of oil in the international markets.

It has so far spent Sh36 billion subsidising fuel, which has helped stabilise prices at the pump and kept inflation within the government’s preferred band.

But the latest jump is causing cash flow problems at some smaller fuel retailers, leading to supply shortages. The hardships have been compounded by delays in the payment of subsidies to the companies by the government.

Conflicting reasons have been given for the shortage, with President Uhuru Kenyatta attributing it to the global crisis occasioned by Russia’s invasion of Ukraine.

Kenya Pipeline, the national oil storage company, says there is enough stock.

Oil dealers say delayed subsidies promised by the government to oil marketers to cushion consumers from the effects of the global crisis is causing the shortages and price hikes.

The fuel shortage started in the Western and North Rift regions before hitting Nairobi on Friday, triggering panic buying that saw dealers hike prices and others limit the amount of fuel being sold per motorist.

A litre of petrol is retailing at above Sh200 a litre in some filling stations, breaching the level set by Epra in its last monthly fuel review.

In Nairobi, diesel and petrol prices are capped at Sh115.60 and Sh134.72 for the month to April 15— the highest level in Kenya’s history.

Yesterday’s assurances by the government will ease growing fears that had already seen motorists in border towns cross to towns in the neighbouring countries for fuel.

In addition to straining the government’s finances, higher oil prices also drove up inflation by a half percentage point last month, and it has also frustrated policymakers.

Public transport service providers have warned they will hike fares while the planting season has been disrupted due to lack of fertilisers and enough diesel to power the tractors, underlining the extent of the artificial shortage of fuel.
 
Reserves are there, what's happening is fuel hiding.
Unapigia mbuzi guitar, mtanzania yeye anataka kuamini kile akili yake inamuambia, a typical clueless Tanzanian and facts ni kama maji na mafuta.
 
Shida ya watanzania hawajui how artificial shortage of products are created, na pia hawajui how hoarding operates[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Unapigia mbuzi guitar, mtanzania yeye anataka kuamini kile akili yake inamuambia, a typical clueless Tanzanian and facts ni kama maji na mafuta.
The only difference between a Tanzanian and a sheep is that a Tanzanian can speak in Swahili.
 
Shida ya watanzania hawajui how artificial shortage of products are created, na pia hawajui how hoarding operates[emoji23][emoji23][emoji1787]
Maybe a few wenye wamefanya biashara kubwa or have done economics proper or commerce, sio hizi za Universities uchwara hapa East Africa where u find a lecturer giving a pamphlet to students without teaching, idiots cram and pass exams without proper knowledge, no exposure to contemporary trends as far as economics/commerce is concerned, nor relevant hands-on experience alafu mtu ana ringa eti ako na degree ya economics/commerce., #Clueless Tanzanians😂😂😅
 
Sawasawa. Achana na mali ya mjerumani sasa. 😀😀😀
 
I wonder how Westlands will look like when the buildings under construction around this place zikikamilika!., it will be more🔥🔥🔥
Naona ata upper sikuizi imetulia few bulidings are being constructed as compared to westlands but hold on kuna viaduct inajengwa apo upper hill simchezo i thought the project had only 2 viaduct kumbe ni tatu..


 
Naona ata upper sikuizi imetulia few bulidings are being constructed as compared to westlands but hold on kuna viaduct inajengwa apo upper hill simchezo i thought the project had only 2 viaduct kumbe ni tatu..


Naona it is UpperHill vs Westlands.., pia Kilimani is changing exactly vile UpperHill did, from residential to Business District.,

This👇👇 beast and others are coming up in Westy.., after GTC.,
 
acha ushamba ,hivyo vitu vyote ni vitu normal ni lazima serikali iwajibike kuvifanya,na nivitu ambavyo vipo kwenye ilani, ila jiou linalokuja kutokea ni pale unapopata usimamizi mbovu yaani nchi inaweza ikawa na pesa nyungi za mikopo ambayo ukija kufanya tamthimini ya pesa za mikopo na matumizi ni tofauti,

ila nimefurahi sana mama wako wa kambo kaupiga mwingi kinyume nyume baada ya kwenda mbele ,,

mshafeli ,sijui wakenya nao hapa wakiamua kupost hivyo vistatus tittle story cover ya vitu simple vidogo vidogo vinavyofanyika kwao kutatosha kweli humu,

MAMA YAKO WA KAMBO HAJAUPIGA MWINGI TENA BALI KAJIPIGILIA MWINGI

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ignorance on steroids, mbona unajianikaga hivi wazi wazi? hauwelewi chochote na umekazana ku type, na maboya wenzako pia wana like hii comment yako bila kuchunguza waelewe, yaani mko hovyo kila sehemu😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
haya sasa MAMBO YA KUUPIGA MWINGI KUTOKA KWA MAMA WA KAMBO hatimaye mama kaupiga mwingi kweli kweli,,

foolish leaders kwa hii nchi ndiyo kinachotutafuna,najua kuna watu watakuja hapa kusema kuwa hii hali ilitokea tokea enzi za JPM,,

Siasa kando ,tulipanda uchumi wa kati kipindi kigumu tena cha corona

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Unajua tulirudishwa kwa sababu zipi? Nimekuwa nawaambia humu ndani mara nyingi kwamba Mwendazake aliua uchumi mkawa mnashupaza shingo..

Ukweli ni kwamba uchumi wa Tzn ulianguka vibaya sana mwaka 2020 na hata sababu za kuchukua mkopo wa covid ilikuwa ni ku stabilise forex Ili serikali isije kushindwa kuagiza biadhaa muhimu kutokana na ukweli kwamba foreign reserves iliporomoka.

Ila kwa kuwa nyie wengi ni washabiki maandazi na wajinga huwa hamtaki ukweli..

Mei mosi ya 2021 Rais alisema wazi kwamba Hali ya uchumi ni mbaya hatuwezi kuongeza salary hadi mwaka huu ambapo umeimarika na salary zitaongezeka.

Narudia kusema hatukuwa na Rais bali Katuni wa propaganda.
 

Anafanya wenye elimu za kuunga unga wadharauliwe. [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…