Tiny buildings in the name of markets [emoji23][emoji23][emoji1787]. Ulitaka za Gorofa pia tuko nazo, two times taller than the tallest market building in TzView attachment 2174881View attachment 2174882View attachment 2174883View attachment 2174884
Dar's largest markets [emoji3516][emoji116]View attachment 2174885View attachment 2174887.. hizi sijui kisutu, sijui magomeni and others ar just modern days markets but they ain't considered Dar's largest markets.. usijichanganye kijana.. take a look [emoji116] migo marketView attachment 2174888View attachment 2174889.. Kisutu market [emoji116]View attachment 2174891and they still larger than this shit [emoji116]. Kwasababu each market has at least 5 storeys while yours has one View attachment 2174893[emoji23][emoji23][emoji23] Eti ni ultra modern market .. hii market i nakaa vituo za daladala DSM [emoji116]View attachment 2174895View attachment 2174896hizo markets zenu ultra modern ni viwango vya market zetu zinazojengwa uswahilini uko tena remote areas..
Barabara ishaanza kuparara with less than a month [emoji23][emoji23][emoji1787]
Rangi ya kufanya road marking ndio huwa hamna ama?[emoji23][emoji23]
huyo kichaa umemjibu vizuri sana ,ila atajitoa tu ufahamu na kukujibu pumbaSawa kaka ngoja tuone after 6 yrs itakuwaje. Ila huko nyuma ulipokuwa ukienda ofisini unakaribishwa na kusikilizwa haraka tena ukikutwa umekaa kwenye bench unaulizwa umeshasikilizwa? So nidham ilikuwepo kama ilikuwa ya uoga ilisaidia kiasi kikubwa. Sasa hivi hiyo hali haipo.
Mimi simpingi mama ni Rais wetu , ni mama yetu lakini asiongoze kwa upole sana watendaji wakimjua udhaifu wake watamkwamisha mipango yake, nadhani watz unawajua wakishakusoma.
Kwahiyo hatupigi kelele kwamba tunampinga au kumkwamisha la hasha! Tunamzindua asiwachekee hawa,akishindwa yeye ni taifa zima tumeshindwa, akikwama yeye tumekwama sote.
Mtu anayekupenda na kukutakia mema huwa anakwambia udhaifu wako. Mama hawezi kujua yote kuna mahali watendaju wake wanamdanganya kwa maslahi yao binafsi. Hatumchukii tunampenda na tunataka afanikiwe na amalize salama kipindi chake cha uongozi.
Ni kweli sijui huwa ni kwanini halafu uwakute wote boss na msaidizi wake ni she unapigwa madongo mpaka unatamani uwararue labda wawe wamekupenda mbona hapo ni mteremko [emoji4][emoji846][emoji846]
Barabara ishaanza kuparara with less than a month [emoji23][emoji23][emoji1787]
ni noma,Ni kweli sijui huwa ni kwanini halafu uwakute wote boss na msaidizi wake ni she unapigwa madongo mpaka unatamani uwararue labda wawe wamekupenda mbona hapo ni mteremko [emoji4][emoji846][emoji846]
Looking so nice and neat always!!!
Barabara ishaanza kuparara with less than a month [emoji23][emoji23][emoji1787]
Wivu.Barabara ishaanza kuparara with less than a month [emoji23][emoji23][emoji1787]
Hapa unacheka nini mkuu? Tunatafuta concessional loan .Hehehe
Incredible road! Dedicated to dyfre.Usije ukajibu kwa barabara zenye majina ya Kijapan please [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Was running here yesterday morning. The road is clean and Pedestrian friendly ( Super friendly in Topestan Standard [emoji1787])
View attachment 2175092
Hapa ndio huwa namkumbuka Paul Christian MakondaViongozi wakubwa wa serikali walitakiwa kuwepo katika uzinduzi, kumpa moyo Masoud. Kitu alichokifanya ni kikubwa sana.
Kisutu market,magomeni market n.k kwa kunyaland hizo ni mall,mtu maskini upati nafasi kufanya biashara sehemu kama zileView attachment 2174881View attachment 2174882View attachment 2174883View attachment 2174884
Dar's largest markets โ๏ธ๐View attachment 2174885View attachment 2174887.. hizi sijui kisutu, sijui magomeni and others ar just modern days markets but they ain't considered Dar's largest markets.. usijichanganye kijana.. take a look ๐ migo marketView attachment 2174888View attachment 2174889.. Kisutu market ๐View attachment 2174891and they still larger than this shit ๐. Kwasababu each market has at least 5 storeys while yours has one View attachment 2174893๐๐๐ Eti ni ultra modern market .. hii market i nakaa vituo za daladala DSM ๐View attachment 2174895View attachment 2174896hizo markets zenu ultra modern ni viwango vya market zetu zinazojengwa uswahilini uko tena remote areas..
Hongera,Kazi imeonekana.
acha kufananisha uharo wa kunyaland na madola makini,This still take me back to my earlier question: Does it mean that countries like England, Germany and China that have experienced fuel shortages in past did so because of their weak economies/small GDPs? Answer this question and I'll listen to you. Kwa sasa, unapiga tu kelele
umenena ndipo kuu.!Kwenye interview ndio balaaa mzee halafu ukute boss ni mwanamke tena wale visirani yaani utarudishwa hapo hapo na bahasha yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ofisi unaenda peke yako Mzee? Kipimo cha kwamba huko ofisini kuna urasimu ni kama mambo yamekwama.Sawa kaka ngoja tuone after 6 yrs itakuwaje. Ila huko nyuma ulipokuwa ukienda ofisini unakaribishwa na kusikilizwa haraka tena ukikutwa umekaa kwenye bench unaulizwa umeshasikilizwa? So nidham ilikuwepo kama ilikuwa ya uoga ilisaidia kiasi kikubwa. Sasa hivi hiyo hali haipo.
Mimi simpingi mama ni Rais wetu , ni mama yetu lakini asiongoze kwa upole sana watendaji wakimjua udhaifu wake watamkwamisha mipango yake, nadhani watz unawajua wakishakusoma.
Kwahiyo hatupigi kelele kwamba tunampinga au kumkwamisha la hasha! Tunamzindua asiwachekee hawa,akishindwa yeye ni taifa zima tumeshindwa, akikwama yeye tumekwama sote.
Mtu anayekupenda na kukutakia mema huwa anakwambia udhaifu wako. Mama hawezi kujua yote kuna mahali watendaju wake wanamdanganya kwa maslahi yao binafsi. Hatumchukii tunampenda na tunataka afanikiwe na amalize salama kipindi chake cha uongozi.
nchi ulizozitaja zimeathirika moja kwa moja na vita ya ukraine vs Russia kwa kujiunga na vikwazo vya anga, mafuta, gas, vikwazo vya fedha nk, kunyaland mmehusikaje hapa zaidi ya kucheza ngoma isiyo wahusu?umenena ndipo kuu.!