Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kuwajua vizuri hawa jamaa wanawakumbatia wazungu siku moja UN iseme fukuza hao wakimbizi wote tutawapa msaada nakwambia hata Wakenya wenzao watakaozubaa watafukuzwa ndani ya 24hrs. Hao ndio Wakenya.
 
Na hii ilitaka kupelekea vita ya Tanzania na Kenya. Walipomfukuza Idd Amin nchini Uganda makanda waliokuwa mstari wa mbele walimuuliza Mwalimu vipi tusogee mpaka Kenya tuwashikishe adabu kwa kuwa wasaliti? Mwalimu akajibu hapana rudisheni majeshi nyuma na msiingie Kenya. Hawaijui historia vizuri hawa.
 
Kwahiyo wanajeshi waliokufa Mozambique, Angola South Africa walikuwa Wakenya siyo?
 
Afu hio heshima ya kutoka moyon ni kwa watanzania hawahawa au wa vizazi vinachokuja?.. afu badala adili na mambo ya msingi kama vitu kupanda bei, analeta mipasho [emoji1]

Ama kweli tuna safar ndefu sana. Anaupiga mwingi [emoji91]
Eti anataka heshima ya moyoni kizazi hiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Construction ya jengo 1, unataka na sisi turingishiane Majengo yanayojengwa nchini, mbona tutajaza server ya Jf??
There's no building of 30 floors and above currently being built in Tanzania tofauti na kile kizee (Mzizima) kilianza kujengwa 2013 hadi wa leo haijaiisha. [emoji23][emoji23], don't think we are stupid.
 
Watanzania ni legends when it comes to propaganda [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Ona wanavyopata tabu na Watz, vyombo vyao vya habari kuanzia magazeti, tv, blogs kila siku ni Tz tu mdomoni wkt huwezi kukuta tv, au redio ya Tz inaongelea Kenya labda state visit ya kiongozi au kuwe na vurugu huko kwao.
Good evening sorcerer [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Ona wanavyopata tabu na Watz, vyombo vyao vya habari kuanzia magazeti, tv, blogs kila siku ni Tz tu mdomoni wkt huwezi kukuta tv, au redio ya Tz inaongelea Kenya labda state visit ya kiongozi au kuwe na vurugu huko kwao.

Ili nchi yao isikike huwa inabidi waitaje taje Tanzania kiufupi huwa hawajiamini. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo lenu huwa mnapenda kuropokwa sana. Halafu huwa hamna facts. Sasa wewe umetoa madai ambayo hata nikikuambia udhibitishe, utashindwa kufanya hivyo. Huna evidence yoyote lakini unaropokwa tu bora nawe umesema jambo.
After Obote overthrow Kenya was the first country in Africa apart from Libya to recognize Amin government what a shame in supporting a junta that overthrew a democratically elected government.
 
Uhuru is overworking. Another dam project has started.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…