Unapoteza muda kumuelimisha mtu asieelewa...anasema bongo hakuna magari hahahaha fala ni fala tu *****Nimeshagundua, wewe huna gari,
Una ndoto ya kumiliki gari, anyway, ukishakuwa na Gari utagundua wala sio big deal, siku ukiwa na safari ya haraka na hutaki kero za kutafuta parking especially kwenye mini yetu hii kama kariakoo basi utaacha na kutumia BRT au Uber.
Kwa wale wanafanya kazi Posta na wanaishi Kimara, mbezi au Kinondoni au Mikocheni wameshaelewa.
tutajuaje uko na gari wakati simu imekushinda kununua. post your log book hereNimeshagundua, wewe huna gari,
Una ndoto ya kumiliki gari, anyway, ukishakuwa na Gari utagundua wala sio big deal, siku ukiwa na safari ya haraka na hutaki kero za kutafuta parking especially kwenye mini yetu hii kama kariakoo basi utaacha na kutumia BRT au Uber.
Kwa wale wanafanya kazi Posta na wanaishi Kimara, mbezi au Kinondoni au Mikocheni wameshaelewa.
kama mikokoteni pia ni gari... sawaUnapoteza muda kumuelimisha mtu asieelewa...anasema bongo hakuna magari hahahaha fala ni fala tu *****
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]bila shaka BRT ni project nzuri sana...ndio inatumika kote duniani kwa miji mikubwa kama london na New York......ila naona kwa sasa Light Rail ndio itajengwa Nairobi...our matatu sector is so developed such that many ppl will loose jobs if they were to be replaced by buses....the best thing is to ban matatus in CBD only and build stages outside of CBD where matatus will end their journey...from this stages, abiria will be ferried into the CBD with light rails...
positive remarks about BRT from twitter users.
Ushamba utawamaliza wakenya umeshaambiwa ni rapid transportation , sasa ww unataka ukae wakati ni 20 mn umeshafika , ndio maana nikawambia DSM imeshatoka uko kwenye kukaa one and half hours , yani mpaka Leo Nairobi's mnakaaa one and half hours kwenye matatuu yenye kunguni poor Nairobians they suffer a lotjasho inanuka kwa hiyo BRT ni mungu tu anajua....ati nisimame hivi hadi Thika for one and a half hours ......pwahahaha
haiwesmek
.
😀😀😀😀😀😀 punguza hasia budaaaCrap!
tell this to the birds... tz kuna magari gani????? kama mikokoteni pia ni magari, sawa.
itajengwa lini ndugu kila siku itajengwa tu???????? au mpaka 2040😀😀😀😀😀😀bila shaka BRT ni project nzuri sana...ndio inatumika kote duniani kwa miji mikubwa kama london na New York......ila naona kwa sasa Light Rail ndio itajengwa Nairobi...our matatu sector is so developed such that many ppl will loose jobs if they were to be replaced by buses....the best thing is to ban matatus in CBD only and build stages outside of CBD where matatus will end their journey...from this stages, abiria will be ferried into the CBD with light rails...
Ety juu wazungu wanasimama kwa hizo brt zao ata nyinyi mnacopy...msee una shidaas you keep whining and consoling yourself,we keep rolling with them BRTs.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kama new york [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
tulia....relax bro...kwa sasa mnaweza mkatucheka...ila wakati itakapojengwa, tupatane hapa hapa sababu wakenya si unawajua tu...itajengwa lini ndugu kila siku itajengwa tu???????? au mpaka 2040😀😀😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ety juu wazungu wanasimama kwa hizo brt zao ata nyinyi mnacopy...msee una shida
positive remarks about BRT from twitter users.
Huwezi acha gari yako usimama kama ngombe kwa bus...iyo ni factUnajua sababu ya kuacha magari nyumbani the only reason ni foleni sasa kama akipanda Brt anatumia dakika 10 na akienda na gari lake anatumia 1 hr huoni ame save time
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]kisha Gavana wa Nairobi Sonko ni mfanyibiashara wa matatu...sioni wakitoa matatu barabarani....tutafte tu njia zingine ..in facebook live last month, the president mentioned plans of a light rail in Nairobi after being asked why TZ has a better transportation system than we do....light rail is not so bad...as long as they dont give the Chinese that project we are good to go...
and also they should work with time because traffic is a nightmare...
Here is Uhuru's message to his fans via Facebook - Nairobi News
these machines operate in most of North Africa...it would be good to welcome this to Nairobi
Piga picha visa moja acha pangangaUmelogwa wewe, yaani nikutumie passport yangu boya wewe..
Nimeshapiga misele Ulaya, Asia, Africa karibu nchi Tano tofauti na EAC, hapo nairobi nakuja Mara kwa Mara, Na mwezi ujao nakuja.
Vipi wewe?
Kitu ambacho huelewi ni hizi BRT huokoa muda na gharama za mafuta kwenye jams,
Badala ya kuendesha gari yako KM30 unakaa 2hrs kwenye Jams na Kutumia mafuta mengi,
Unaweza commute Bus kwa 30mns ukifika CBD,
Pia sehemu hizi gari zinaanzia safari kuna parkings kabisa, watu huacha gari zao hapo..
😀😀😀😀😀😀😀 punguza hasira budaaHuwezi acha gari yako usimama kama ngombe kwa bus...iyo ni fact
sent from iPhone 7