Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni miongoni mwa nchi chache sana hapa Afrika ambayo ilipigania uhuru wake kupitia vita sio diplomasia. Nchi zingine pia ambazo zilimwaga damu ili kujipatia uhuru ni Zimbabwe, South Afrika, Namibia na Angola. Ila nchi kama ya Tanzania mlipewa uhuru baada ya mazungumzo tu. Halafu bado mnajifanya kwamba nyie ndio mnajua kupigana na mabeberu kutushinda sisi ilhali nyie hamkupigana na mabeberu mwanaume kwa mwanaume kama sisi tulivyofanya. Wakenya 50,000 waliuwawa katika vita vya Mau mau. Wakenya wengi ikiwemo wamama na watoto waliwekwa katika concentration camps. Vitabu vimeandikwa kuhusu hili mnaweza kuvisoma. Serikali ya UK iliomba msamaha kwa mateso na mauwaji iliyofanya Kenya wakati huo.

Cc ichoboy01
Geza Ulole
joto la jiwe
 
9 years back


last year


this year
Any profitable Airline business should bank on customers base, network, state of the art equipment, skilled work force and top management. Sasa ukiona Airline inaanza ku bank on government subsidies ujue tayari shirika limeangalia kibra anasubiriwa israil aje achukue chake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Flights nyingi sana kwa siku hizo bado watabishana na ukweli
 
London ina wakazi robo tatu wanaoishi kwenye slums?

London ni chafu?

London ina katika katika umeme kila wakati?

London haina maji?

London ina mazingira hatarishi kwa binadamu?

London wizi uliokubuhu?

London ina miundombinu outdated like block flyovers?

London haina BRT?

London haina electrifitried SGR?

Btw, nitaftie hiyo article Nyerere akilinganisha ka Nairobi na London ukipata nitag.
 
Kwa sababu umeme unakatika hovyo Tanzania unafikiri umeme unakatika Kenya pia?
 
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache ambazo zimewahi kushinda vita dhidi ya wazungu, nenda umsome Chifu Mkwawa aliyempiga mjerumani, hizo zote zilikuwa mbio za kupigania uhuru wetu Watz dhidi ya mabeberu. Alafu naona umetaja South Afrika nchi ambayo pia tuliisaidia kupigania uhuru wake na marais wote wa SA huwa wanaliongea hilo wazi wazi, na co SA tu bali Tz imesaidia nchi nyingi za Afrika kupata Uhuru wake na ndio maana ni miongoni mwa nchi chache zenye kuheshimika hapa Afrika.
 
The best 007 huwa anaamini kwamba hakuna kitu ambacho kipo Nairobi ambacho hakipo Dar. Sasa Malazy hebu tuonyesheni ice rink ambayo ipo Tanzania.

 
What is Tanzania leading in?[emoji23][emoji23][emoji23]
1)Peace
2)Unity
3)Food production
4)No tribalism
5) Less corruption
6) Better Hospitals
7)We are the biggest exporters to Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi
8) Water and Electricity distribution
9)Best Airport and best stadium.
10)Beautiful ladies
 
1)Peace
2)Unity
3)Food production
4)No tribalism
5) Less corruption
6) Better Hospitals
7)We are the biggest exporters to Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi
8) Water and Electricity distribution
9)Best Airport and best stadium.
10)Beautiful ladies
Naona umeshika adabu Kwa point number seven😂😂🤣🤣. Kitambo ulikuwa unadanganya ati Tanzania is the biggest exporter to East Africa Community until I embarrassed you🤣🤣😂🤣.

The remaining points are just hot air.
 
How can you talk about modernity when your city only have one flyover and two interchanges?
Haaaaahaaaa kwanini sijashanga?[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]so flyover is the key factor of mordenite? According to that emty brain of yours[emoji23][emoji23][emoji23]
honestly, i rather not talking about modernite instead show it[emoji7][emoji7][emoji7][emoji116]
 

Attachments

  • JamiiForums-2020776185.jpg
    54.5 KB · Views: 36
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…