Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


soma hii afu nipe feedback or any comment..
hata kama hauna, pls give me any feedback hata kusema “thanks for sharing”.

 
ni zaidi ya kituko mkuu

sikuhiz ile hashtag #MamaAnaupigaMwingi naona watu wameifanya kuwa ni kejeli[emoji23]
Kuna companies za Dubai kama nne ndio zilikua zimekasimiwa kazi ya vehicle inspection kwa niaba ya TBS then zinawalipa TBS commission, Dubai Expo ndio imekuja na hili, sasa ile garage TBS iliowekeza hapo TPA itafanya kazi gani? Ama kweli kosa mali upate akili!
 

nilichoona.. hajali hali ya Tanzania au watanzania hasa ajira, anajali watu wa nje wanasemaje/wanatakaje..
 
Huyu mama anashauriwa mambo mengi asiyoyajua na yeye anakubali kwasababu hajui mambo mengi ambayo kiongozi anapaswa kuyajua, shida ilianzia pale katiba letu bovu lilipomzawadia kiti, but hakuwa amewaza wala kujiandaa kuwa Rais na kuna mambo mengi maskini ya Mungu anapaswa kuyapitia kabla ya kutoa uamuzi lkn atayapitiaje wkt hajui aanzie wapi. Tutulie tu hakuna jinsi ila tunapoelekea wale wenye chuki na uongozi uliotukuka uliopita watatii japo wameshaanza kutii kimya kimya.
 
Unaambiwa alimchukia JPM by passion kutokana na JPM kufyeka na kuwananga wenye vyeti fake sababu yeye elimu yake yote ni fake ukiangalia CV yake ni elimu ya kuunga unga na toothpicks na ni fake

Hana elimu yoyote maskini Yaani nchi mikononi mwa kihio, Makamba ndio mastermind wake tofauti na wataalam!
 
nilichoona.. hajali hali ya Tanzania au watanzania hasa ajira, anajali watu wa nje wanasemaje/wanatakaje..
Eti anaongea kabisa vitu vitapanda bei, nauli zitapanda na kawaambia mawaziri na wabunge wawaambie wananchi hilo, ss hapo c ndio anawapa ruhusa walanguzi wazidishe bei mara dufu. Ni sawa unaenda kwa machinga alafu kabla hajakupa bei unaanza kumwambia "hivi hii suruali huwezi kuniuzia kwa shilingi elfu 50" ss hapo hata kama ilikuwa inauzwa elfu 10 unategemea nn hapo.

Uongozi huu ni dhaifu kuwahi kutokea Tz na ndiyo maana wamebaki kuongea ongea tu tutajenga hiki, tutajenga kile, lkn ukweli ni kwamba hakuna wanachojenga zaidi ya kuendeleza yale yale ya awamu ya tano na tena wanaendeleza kwa kusua sua licha ya kuweka matozo na kukopa kopa bila akili.
 
Hawa nao wapumbavu kweli, ni suala la JPM lakini wanasema ni la awamu ya 6 [emoji706]

View attachment 2169304
Hiyo ni aina ya viongozi tulionao kwa ss, wamekuwa wapumbavu kudhani kwamba ili awepo ofisini lazima amsifie Rais hata kama ni bomu, cku hz sitaki kuisikia kabisa TBC yani ile ndiyo tv ya mapunguani kabisa.
 
Hii nchi kama huyu mama ataendelea kuwepo ofisini 2025 basi nitaamini ni nchi ya giza kabisa inayofaa kurudi LDC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…