Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti Nigeria ina 4th most powerful military in Africa na ujinga kama huu unafanyika huko?
Hivyo hivyo kwa Kenya, mnajisifia eti kwasababu Kenya is "ranked highly militarily", lakini ukiangalia kwa vitendo, KDF ni ujinga mtupu sawa na Nigeria, punguzeni huu upuuzi wenu wa kuangalia "theories" na muanze kulinganisha na hali halisi "on the ground
 
SeeView attachment 2168999
 
Sikia sasa
Dar ina majengo ya kuanzia Meter 61 yapo 37
Nairobi yapo 33[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
ONA HAPO[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Why are you shooting yourself on the foot [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
shooting myself how.!? or facts on ground. i can still proof further please.. no disclaimer here, it may depend on the eyes of the beholder
 
Somalia wachana nayo kabisa bro. Nyie hamuwafahamu vizuri kwa maana wao sio majirani wenu. Kamwe Somalia haitaingia EAC wacha nikuhakikishie leo. Na ikiingia Kenya inatoka. Kenya haitaishi ndani ya nyumba moja na Somalia. Mark my words.
Kenya haina jeuri ya kutoka EAC, Kenya uchumi wake unategemea Tanzania na Uganda by 80%, hivi zaidi ya Tanzania na Uganda, ni nchi gani tena inafanya biashara ya kuuza bidhaa zake kwa wingi?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…