mm nakwambia hvi ww liaaa lakini ukweli unaujua 🤣🤣🤣 sasa jiandae kisaikolojia kuskia mwaka huu ndege tano kubwa zinaingiaWhy are you writing a long story? Tushakubaliana kuwa ATCL only generates $70M dollars in revenue compared to KQ which is racking a whopping $520M[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah, ukweli Kila mtu anajua kuwa ATCL only generates a revenue of $70M and KQ generates $520M. That's the only truth the whole world knows[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]mm nakwambia hvi ww liaaa lakini ukweli unaujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa jiandae kisaikolojia kuskia mwaka huu ndege tano kubwa zinaingia
boeng 767 freighter moja
Airbus A320 mbili
bombadier q400 moja
boeing 787 dreamliner moja
Si huwa mnasema ATCL haitoi annual financial statements, ss hii figure umeitoa kwa mama Ngina au?Na bado mnapata revenue ya $70M?[emoji23][emoji23][emoji23]. So ndege moja inaleta revenue of around $6M Kwa mwaka and $17k in a day?[emoji23][emoji23][emoji23]
Magufuli ndio hakuwa anakubali financial statements zitolewe. Tangu Samia aingie saa hii vitu vinawekea wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]. And who doesn't know that ATCL only generates $70M in revenue?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Si huwa mnasema ATCL haitoi annual financial statements, ss hii figure umeitoa kwa mama Ngina au?
Shida iko moja, watanzania wengi walio serikalini wamekariri ili udumu kazini lazima uwe na kaumalaya malaya flani, ss nani asiyejua kwamba electrifitried SGR ni wazo la Magu? Kwanza kama sio Magu hata hyo diesel SGR ingeishia kwenye makaratasi tu. Hizi harakati zote mpk unaona kwa ss viongozi wanathubutu kufanya mambo makubwa ni kwa ajili ya Magu, ni ngumu kumtenga Magufuli na maendeleo ya ss ya Tz ni ngumu sana kama ilivyo kupika chai kwa kibatali.Watanzania tuacheni unafiki.. we all know kikwete alikuwa anatuletea unelectrified sgr kama ya wakenya kutoka kwa mchina
How? Do u already know the results of that referendum ukiwa hapo Kibera ?Russia is losing View attachment 2165847
Mzae kwani hujui sarcasm?How? Do u already know the results of that referendum ?
Kama kawaida muongoza mgomo ni mkenya huwezi kuta mbongo anafanya huu ujinga
the good thing is the whole of Europe is under energy supply defficiency!Kama kawaida muongoza mgomo ni mkenya huwezi kuta mbongo anafanya huu ujinga
View attachment 2165854
Ungeweka habari yote ungeeleweka.. Michezo yenu tushaijua, this is new TZ.. Ishakula kwenu [emoji23][emoji23][emoji23] roho mbaya ndio maana hampendani ninyi kwa ninyi..
Wivu umewajaa hadi matakoni hawa nyang'au.Kama kawaida muongoza mgomo ni mkenya huwezi kuta mbongo anafanya huu ujinga
View attachment 2165854
Yn cku hz watu wanasafiri kupita maelezo, kila mtu serikalini anataka kusafiri, kuanzia viongozi mpk wakuu wa majeshi ni safari mtindo mmoja.JPM refused to die
Over a year now people refuse quit discussing the legend