Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujui kitu nyamaza, yn tuwatengenezee transformers alafu tusitengeneze cables?
 
Mbona aliyeingiza vifaranga hakufuata utaratibu? Kweli tuache mifugo kutoka Kunyaland iingie wakati kuna yellow fever na magonjwa mengine kama homa ya mafua na magonjwa ya bonde la ufa huko?

 

Hao vifaranga walikuwa tayari wameshanunuliwa na Mtanzania...watakuaje wa mkunya tena?

Kwani sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kuingiza wanyama jamii ya ndege nchini?
 
Hawa jamaa tuko nao karibu lkn wamelaniwa kabisa, magonjwa yote huwa yanaanzia kwao, wana utitiri wa magonjwa kwasababu ni wachafu sn, miji yao imeoza kwa uchafu wa kila aina na ndiyo maana hata picha za infrastructures zao huwa wanatafuta zile za wakati wa uzinduzi tu mana mda mfupi baada ya uzinduzi huwa zinachakaa na kujaa mauchafu, jamaa wachafu sn hawa.
 
Hujielewi, kiwanda kama hiki vipo viwili tu afrika kama sio vitatu

Tanzania, SA maybe Nigeria

 
That tweet is Xenophobic! Madharau hayahaya yamefanya tukapata EACOP na SGR Rwanda! Saahii we r slowly courting Uganda SGR!
 
Hao vifaranga walikuwa tayari wameshanunuliwa na Mtanzania...watakuaje wa mkunya tena?

Kwani sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kuingiza wanyama jamii ya ndege nchini?
Halafu hapo ndio napowashangaa Wakunya, vifaranga hao ni Mali ya Watanzania waliowanunua huko sasa wanawapitisha mpakani kuingia Tanzania ndio wakapigwa kibo match, sasa kinachowauma Wakunya sijui ni nini!
 
japan nae kaamua kumpigia mume wake juu ya korea kaskazini 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…