chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Since when did India become a region in Tanzania?so hao sio watanzania ??
Tanzania's Lake Oil to buy Kenya's Hashi Energy
The Competition Authority of Kenya has approved the proposed acquisition of Kenya's Hashi Energy's retail petroleum business by Tanzania's Lake Oil, reports Standard Digital.www.petrolplaza.com
Hiyo ndoto utaota hadi unakufa,Samia yupo hapa hadi 2030 wala chuki zako hazitabadili chochote.azindue miradi yote ya nyuma, afu 2025 tuna jambo letu[emoji23][emoji1787][emoji38]View attachment 2160712
View attachment 2160713
hebu sasa imagine, eti HDI ya kenya yote on average ni 0.65.!!.(Medium).... wee kenya achana nayo naniii....
Tatizo hana ubunifu wa miradi.Huyu waziri uwa na spirit ya kutembelea miradi bila kuchoka hata wachina wa BRT wameongeza speed sana . Hata flyover wanazojenga speed yao imeongezeka . Hivi ndivyo inavyotakiwa
Yaani ninyi mpaka beberu ndio anaewalisha ugali?Since when did India become a region in Tanzania?
What a shame!hebu sasa imagine, eti HDI ya kenya yote on average ni 0.65.!!.(Medium).... wee kenya achana nayo naniii....
weee Ichoboy hebu jumlisha maeneo yote business districts za nairobi na uweke kwa pamoja, hio size nayo.!?so nairobi imeisha hapo ππππ
ww ni mjinga sana sasa mhindi akizaliwa america akawa na uraia wa america utasema ni raia wa india??πππ punguza ufalaSince when did India become a region in Tanzania?
sasa umepanic mm nimekuuliz hio picha imemaliza nairobi yote ??ππππweee @ichoboyView attachment 2160826 hebu jumlisha maeneo yote ya nairobi na uweke kwa pamoja, hio size nayo.!?
Jua Kali type.Mdanganyika anihesabie [emoji41][emoji23]View attachment 2160671
No trenches, no standard, typical jua Kali.Mdanganyika anihesabie [emoji41][emoji23]View attachment 2160671
so kwako nairobi ni ndogo? twende battle basi, tuzikusanye business districts zote za dar vs nbi na tuzijummlishe, tuone gani ndio soo na gani ndio pyengasasa umepanic mm nimekuuliz hio picha imemaliza nairobi yote ??ππππ
Wapo kmy kwasababu aliye madarakani wanamuweza, probably wanafanya wanachotaka now.Nimejiuliza sana, hiv huyo ndo alikuwa VP wakat wa Magu? Kwa kweli nimekosa jibu.. ule uchungu/moyo wa uafrica huko wap? Utanzania uko wap? Serikal inashindwa kutafuta hizo bil69 kwengine hadi uruhusu huo upuuzi? Wanasema simba wanapungua lakn wanaruhusu kuwinda na kuua? Wanasema wamasai wanaharibu maisha ya wanyama lkn wanaruhusu wenye hela kuwinda na kuua? Ase aibu sana!
Hiv zile mbaga za madini, sijui dar port zisiendelezwe kisa bagamoyo port huyu angeziweza kwel?
Hili suala angefanya aliepita tungesikia watu wakubwa hata wastaafu akina kagasheki wanalipinga, lkn cha ajabu watu wapo kimyaa [emoji134]
Bwana mapesa a.k.a cartoon [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa Tanzania with paved road network of 9,000Km inatuambia nini?[emoji23][emoji23] I told you that Tanzanians should not even lecture Ugandans in terms development.
C mmemuona cartoon wetu[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tangy lini mhindi akawa mtanzania?[emoji23][emoji23][emoji24].
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ yani ndio umepanic kiasi hichiso kwako nairobi ni ndogo? twende battle basi, tuzikusanye business districts zote za dar vs nbi na tuzijummlishe, tuone gani ndio soo na gani ndio pyenga View attachment 2160868