The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Hii nchi inaweza kuongozwa hata na paka na ikaenda fresh tu japo hakutakuwa na maendeleo kwa kipindi ambacho inaongozwa na paka lkn hutosikia watu wakifa kwa njaa wala vita, but inapopata kiongozi kama the late, the giant, the elite, the extra ordinary leader kama Magu wala huitaji miaka 10 kufanya zaidi ya kile kitu vinchi vidogo vidogo kama Kenya inafanya.the kind of country and leadership we are currently experiencing with.[emoji20][emoji174]
Tena asiyejitambua kabisa.Taifa lipo mikononi kwa mwendawazimu, tutaona mengi!
Sehemu kubwa ya nchi yenu haiko paved.
Daah hii hatarithe kind of country and leadership we are currently experiencing with.[emoji20][emoji174]
Hili swala halileti maana kuwaondoa wenyeji alafu unajenga mahoteli zaidi ya wastani ndani ya hifadhii[emoji174][emoji174]
Nimejiuliza sana, hiv huyo ndo alikuwa VP wakat wa Magu? Kwa kweli nimekosa jibu.. ule uchungu/moyo wa uafrica huko wap? Utanzania uko wap? Serikal inashindwa kutafuta hizo bil69 kwengine hadi uruhusu huo upuuzi? Wanasema simba wanapungua lakn wanaruhusu kuwinda na kuua? Wanasema wamasai wanaharibu maisha ya wanyama lkn wanaruhusu wenye hela kuwinda na kuua? Ase aibu sana!Hii nchi inaweza kuongozwa hata na paka na ikaenda fresh tu japo hakutakuwa na maendeleo kwa kipindi ambacho inaongozwa na paka lkn hutosikia watu wakifa kwa njaa wala vita, but inapopata kiongozi kama the late, the giant, the elite, the extra ordinary leader kama Magu wala huitaji miaka 10 kufanya zaidi ya kile kitu vinchi vidogo vidogo kama Kenya inafanya.
Huyu waziri uwa na spirit ya kutembelea miradi bila kuchoka hata wachina wa BRT wameongeza speed sana . Hata flyover wanazojenga speed yao imeongezeka . Hivi ndivyo inavyotakiwa
Pinnacle is not an existing tower. Wacha kuongelea mambo huelewi. Hehehe, unapigwa bare hadi unachanganyikiwa. 🤣🤣🤣List inaanzia hapa
1. The Pinnacle Tower The KSh 20 billion Pinnacle Tower under construction in Nairobi's Upper Hill area would be the tallest building in Kenya once complete. It has two adjacent towers, one with 46 floors (200.8 meters) and the other with 70 floors (300 meters).
It is being developed jointly by Hass Petroleum and the White Lotus Group managed by Indian tycoon Vijaykumar Naidu.
Sasa Tanzania with paved road network of 9,000Km inatuambia nini?[emoji23][emoji23] I told you that Tanzanians should not even lecture Ugandans in terms development.Sehemu kubwa ya nchi yenu haiko paved.
Heeeeheeee. Umeskia British American ukachanganyikiwa. Usidhani Wakenya tumelalia maskio kama nyinyi. 😂😂😂Kisha hapa
2. Britam Tower Standing at 200 meters, the Britam Tower is currently the tallest complete building in Kenya. The commercial building completed in 2017 is owned by the British-American Investments Company (Britam).
Heeeheeee.....tena hii imekuchanganya boss. Kenya sii mchezo wako. 😂😂😂Hii nayo mali ya Mzungu
4. UAP Tower UAP Old Mutual Group owns the 33-storey 163 meters office complex. It temporarily became the tallest building upon its completion in 2015, surpassing the Times Tower, which held the record then