👇👇👇👇👇Wewe ni mjinga kweli, yani picha umekwamilia iko hadi na bendera ya Kenya lakini bado umeinsist tu ati hapo sio kenya. Are you really okay upstairs?🤣🤣🤣
onesha vitu kama hvi mzee acha kuruka ruka kama mkojo wa mlevi 🤣🤣🤣👇👇
View attachment 2160589View attachment 2160590View attachment 2160591
tafautisha sana, jua kenya sisi ni Capitalist sawa tu na US, UK, Australia, SA, etc. na nyinyi mtabaki kua Communist/Socialist.98% ya majengo ya Nairobi ni Mali ya wageni wala huna la kufanya
10 tallest buildings in Kenya, construction costs and owners
Kenya's capital Nairobi has been ranked one of the most dynamic cities in the world. The city's skyline has changed over the last two decades with new buildingswww.tuko.co.ke
Kuna siku walichukua picha za Sychelles wakadai Mombasa!onesha vitu kama hvi mzee acha kuruka ruka kama mkojo wa mlevi 🤣🤣🤣👇👇
View attachment 2160589View attachment 2160590View attachment 2160591
aah wapi.!? mombasa is well established and self-contained. !, we have everything in here, we need not borrow anythngKuna siku walichukua picha za Sychelles wakadai Mombasa!
Hapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣98% ya majengo ya Nairobi ni Mali ya wageni wala huna la kufanya
10 tallest buildings in Kenya, construction costs and owners
Kenya's capital Nairobi has been ranked one of the most dynamic cities in the world. The city's skyline has changed over the last two decades with new buildingswww.tuko.co.ke
Wewe ichoboy01 na Geza Ulole wacha niwatoe ushamba kidogo. Kenya tuna marina na linaitwa English Point marina. So wacheni ushamba.onesha vitu kama hvi mzee acha kuruka ruka kama mkojo wa mlevi 🤣🤣🤣👇👇
View attachment 2160589View attachment 2160590View attachment 2160591
You mean that flyover costed a third if the Nairobi expressway?The $200 mln Kampala flyover
VS
The $600 mln Nairobi Expressway
We unafikiria profit ya bank huwa inagawiwa raia ambao wako njaa?Hujajibu swali zaidi ya kuonesha hasira kama upo kwenye mzunguko wako, nauliza hivyo vipesa mnavyokusanya huwa mnavipeleka wapi mana njaa iko pale pale kila siku, barabara hamna uwezo wa kujenga ila mnajengewa na Mchina, mishahara hamna uwezo wa kulipa, je hivyo vipesa vinaenda wapi? Muulizeni uhunye na mama Ngina wanavipeleka wapi hivyo vipesa.
List inaanzia hapaHapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣
Hapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣
Hii nayo mali ya MzunguHapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣
Mali ya MchinaHapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣
Mali ya Muhindi iliosuswaHapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣
Mali ya MpakistanHapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣
Kuanzia jengo la 14 mpaka 33 yote ni foreigners properties wala hamna la kuwafanyaHapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣