Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,810
Leo unawaza sgr kwenda uganda kupitia Kagera, kuna siku nilitoa hili wazo kwamba ikijengwa isaka Kigali mganda anaweza kuvutika sgr yake aiunge Tz, ulinishambulia utadhani nimekuchukulia mke 😂😂swali langu hiyo SGR extension ni kupitia Burundi au bado ile SGR Isaka-Keza-Kigali? Kama ni kupitia Burundi basi ile chance kuungana na Uganda SGR kupitia Isaka na Kagera itakuwa imepotea!
Kuna watu walisema ooh tutawafukuza wawekezaji ila saivi tunaenjoy mapato ya madini ni almost 7.3 % ya gdp aim ilikua more than 10 % by 2025 from around 3 % in 2015inahitaji mtu jasir kufanya maamuzi kama haya.. kipindi kile kuna watu walisema tutapigwa sanctions.. tutatengwa na dunia.. etc
Ndio maana sisi watanzania hatujafungamana na upande wowoteYes Marekani na nchi za magharibi ni hypocrites! Wanatumia jina la democracy kufanya uovu mwingi sana. Wamefanya uharibifu mkubwa sana duniani. Lakini nyinyi watanzania kusema kuwa mnasupport Russia ni double standards pia. Kwani kitu kinachofanywa na Russia ni tofauti na uharibifu uliofanywa na western countries? Hakuna nchi yoyote Huru inayostahili kuwa occupied! Nyerere amesimama na hii falsafa katika uongozi wake na Ndio Maana Tanzania ilijikita sana na uhuru wa nchi za Afrika.
Naona umezinduka wazindue na wakenya wenzakoHii vita ya Ukraine imenifunza jinsi western media ni hypocrites. Ethiopia na Mozambique kumekua na vita kali tangu 2020, maelfu ya watu wameaga dunia lakini taarifa hizi haziko kwa international media yeyote ata social media ni report moja mbili alafu kimya.
Kwa sasa, western media wanataka tusimamishe dunia tuomboleze na tuongeze bei ya bidhaa kama mafuta sababu mzungu kutoka Europe Ukraine anauliwa na mrussia. I call it bullshit
All lives matterView attachment 2158578
Kwa hiyo asisimamie maamuzi mazuri kwa kuogopa kupinduliwa?Ila Rais wa DRC asijifananishe na wa Tanzania, juzi amekoswakoswa kupinduliwa! Kiufupi hakuna defence systems nzuri chini ya FARDC ndo maana MONUSCO na UPDF wapo eastern DRC! anytime kule meza inapinduka!
Combat Troops March In The DRC After Attempted Coup D’état
By Lisa Vives The Democratic Republic of Congo is the latest African nation to face an attempt to overthrow the government, allegedly by a government official. In the first official comment since reports of the failed coup plot emerged five days ago, a spokesman for President Felix Tshisekedi...www.eurasiareview.com
Ruble ni sarafu.Now Ukraine has been turned to ruble
Geza kama umemsikiliza huyo waziri wa uchukuzi vizuri ungesikia akisema kwamba asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio inapitia bandari ya Dar es Salaam. Sasa sijui joto la jiwe alikuwa anapinga nini kwenye ule uzi wangu. Hii 2% ilisemwa pia na Mkurugenzi wa TRC bwana Masanja. Sasa huyu ni mtu wa pili wq serikali yenu kuconfirm. Huyu ni waziri wa uchukuzi, ni mtu mkubwa sana hawezi kudanganya.
After Dedan Kimathi, hakuna mkunya mwenye akili tena na anaejitambua. What went wrong wazee?!...USA ndo wame destabilize hizi nchi zote plus central america wameharibu kabisa. US ni kidonda kwa dunia na imperialism.
Wakunya wakuoneshe mji wowote nje ya nairobi kama sio jangwa tupu na njaa
Mwisho wa reli kigoma
Anko kwani watoto wa middle east ni nyani???Hawa Watanzania wa huku nimeona 98% wanasupport Russia hata wakiuwa watoto wadogo. Hawana utu kabisa.
Huyu mama mja mzito ambaye maternity aliyekuwemo ndani ilipigwa bomb na Russia huko Mariupol, mtoto wake alizaliwa akiwa ameshaaga dunia. Mama mwenyewe baada ya siku mbili pia aliaga dunia kwa sababu ya majeraha mabaya aliyopata. Halafu humu ndani majority ya Watanzania wanasherehekea na kufurahia madhambi ambayo Russia inawafanyia watu wa Ukraine.
Halafu Ethiopia ni jirani zenu wakunya lakini mnaona Ukraine ndio wanateseka na mnatoa mishipa kupiga keleleHii vita ya Ukraine imenifunza jinsi western media ni hypocrites. Ethiopia na Mozambique kumekua na vita kali tangu 2020, maelfu ya watu wameaga dunia lakini taarifa hizi haziko kwa international media yeyote ata social media ni report moja mbili alafu kimya.
Kwa sasa, western media wanataka tusimamishe dunia tuomboleze na tuongeze bei ya bidhaa kama mafuta sababu mzungu kutoka Europe Ukraine anauliwa na mrussia. I call it bullshit
All lives matterView attachment 2158578
Ajenge safu ya ulinzi kwanza inakaa serikali haijasimama vizuri!Kwa hiyo asisimamie maamuzi mazuri kwa kuogopa kupinduliwa?
😀 hao wanakula vibudu, yametelekezwa hayoHii vita imekuwa kama video game tu? 😂🤣. Tazama jinsi soldier wa Ukraine analipua tanks za Russia.
Haya mzee kuna makubaliano na Uganda yamesainiwa pia!Geza kama umemsikiliza huyo waziri wa uchukuzi vizuri ungesikia akisema kwamba asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio inapitia bandari ya Dar es Salaam. Sasa sijui joto la jiwe alikuwa anapinga nini kwenye ule uzi wangu. Hii 2% ilisemwa pia na Mkurugenzi wa TRC bwana Masanja. Sasa huyu ni mtu wa pili wq serikali yenu kuconfirm. Huyu ni waziri wa uchukuzi, ni mtu mkubwa sana hawezi kudanganya.