Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,256
- 107,892
upo dunia ipi mshikaji? Hilo la cargo mi sijui ila Rovos wana itinenaries along the route!Hiyo reli ya Benguela imeshakuwa linked na Tazara? The most lucrative and interesting route ni hiyo ya Congo.
Hiyo jungles ndio nzuri, wasipopasua Kwa train watapasua Kwa barabara then wata feed on train stations. Mzigo lobito port hamna.. Madini yanapungua labda mafuta ambayo nayo Sio kama awali.
Chuma na forest products kutoka Congo ndio targets hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii bridge inawauma wakunya kupita maelezo, wangetamani iwe yao lkn ndiyo uwezo hawana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]DSM View attachment 2155822View attachment 2155823this bridge is superduper amazing [emoji116]. Jirani vipi uko Teargas naskia eti UG ipo mbele ya Bongo ki miundombinu [emoji23][emoji23],nikawa nauliza kwani nyie wakunya mnatuweza.?
Yaani ingekuwa imejengwa kwao tusinge kunywa maji humu ......we fikiria kale kabarabara kao ka express wanatupia humu kila dakika ...utafkir maendeleo ni nairobi tuu ...hakuna kwengine dahhHii bridge inawauma wakunya kupita maelezo, wangetamani iwe yao lkn ndiyo uwezo hawana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leta evidence kwamba mkopo wa Thika road ni mkopo wa AFDB.walikopa sana kias kwamba wanasuasua kwenye kulipa madeni hio thika ni mkopo wa AFDB lakini haijamaliza deni mpaka dunia itasmama 🤣🤣🤣
Kwamba kuna continuous railway kuanzia Dar hadi Lobito? Wow, sikuwa na habari.Baba kupitia DRC hapo katikati ni jungle! BTW mbona tume-connect na Atlantic ocean kitambo? Tangu Lobito Cape Gauge Railway ikamilike?
Great,upo dunia ipi mshikaji? Hilo la cargo mi sijui ila Rovos wana itinenaries along the route!
Leta evidence kwamba mkopo wa Thika road ni mkopo wa AFDB.
Atakayebisha hili ni mpumbavu!AfDB-Funded Thika Superhighway: A Masterpiece for East Africa “A National Pride” - President Mwai Kibaki
The 50-km Nairobi–Thika superhighway, described by Kenya’s President Mwai Kibaki as a source of “national pride” during its launch on November 9, covers an area that lies within the Nairobi Metropolitan and Central Province, including large sections of the City and Thika district. The road...www.afdb.org
AfDB-Funded Thika Superhighway: A Masterpiece for East Africa “A National Pride” - President Mwai Kibaki
The 50-km Nairobi–Thika superhighway, described by Kenya’s President Mwai Kibaki as a source of “national pride” during its launch on November 9, covers an area that lies within the Nairobi Metropolitan and Central Province, including large sections of the City and Thika district. The road...www.afdb.org
Kwa nini Tzn hatujahudhuria mkutano muhimu kama huo wa uwekezaji?33 billion dollars [emoji385] for Africa development.
SGR yetu ya Isaka-Kigali haiwezi kukosekana hapa. Kagame tagged [emoji2960]
Kagame alitu-represent! Nitashindwa kumuelewa kama Isaka-Kigali SGR haitapewa funds this time!Kwa nini Tzn hatujahudhuria mkutano muhimu kama huo wa uwekezaji?
😀😀😀😀 Ukweli mchunguKenge wewe ....