nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,840
wakunya hamna kitu kichwani, wamelelewa kuwa tegemezi na omba omba, kila mwaka njaa, kila wakati mashambulizi ya alshabaab, vituo vya majeshi ya kigeni every where,Sisi tunajenga SGR ya 4600km mzee compared to yenu ya 400km project duration lazima ziwe tofauti mzee.
Hiyo sgr yao hata kampuni zetu za ndani zinaweza jengaNiliwahi kuwaambia Wakenya waoneshe Marshalling yard ya reli yao hadi leo...
Yani Reli ya Kenya tukisanyika watu wote humu Jamii forums tunajenga kwa mwaka, very poor in Quality
mpaka design yenyewe ni ya mchinaAma kwa hakika walah hii mali ya mchina typically
Naona vibanda vya toll vileeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
jambo ambalo huyu mwenzetu hajui ni kwamba hiyo ni nairobi express way, mali ya mchina ndani ya kunyaland siyo uhuru wala nyangau yoyote mwenye mamlaka ya kuimiliki labda baada ya miaka 27, maana siyo ya wakunya. hivi wewe unaweza kuweka matangazo yako kwenye nyumba ya jiraniyako bila ruhusa? ndiyo maana toll fee kila mahani, mchina anataka chake, wakunya tokeni gizani!TZ mksizeni huyu mwenzenu kaja Nairobi na kuona mambo baada ya BABA levo....
heri kidogo unachokimiliki kuliko vingi usivyo vimiliki, wakunya waliowengi nairobi ni kama manamba tu!
Siku zote uhalisia na propaganda hujitenga.Kumbuka Yap merkez ana vipande vitatu na wafanyakazi na wataalamu ni wale wale.Hoja sio kuisha haraka kufurahisha Bali ubora.Kawia ufike.Tumewazoea hata SGR yenu ilianza kufika 95% in 2019 lakini hadi saa hii bado haijaisha.
Endelea kuota ndoto za alinacha,Kama korosho zilitushinda kulipa tungeingiaje kwenye hii biashara hatari huku ukijua Marekani wanakuchora tu ujichanganye na wewe upigwe cha Moto.Kwa nchi za ulimwengu wa tatu hufuata sanction za US automatically.Kumbuka wakati wa JPM akina kabudi walivyo haha kuipinga meli ya Iran iliyokuwa na mafuta huku ilipeperusha bendera ya Tanzania illegally.Hofu ilikua ni kutomkwaza USOnly kama Magufuli angekuwa alive
Kubali tu mumeshindwa..takwimu zikitolewa mnalalamika waga..wenzenu wakija uku na kurudi kuwa hadithia bado mnalalamika..Hivi na mkiwa na akili kama haya mnaweza endelea kweli?bakini tu hivyo hivyo...heri kidogo unachokimiliki kuliko vingi usivyo vimiliki, wakunya waliowengi nairobi ni kama manamba tu!
Tatizo wakunya mnapenda sana uwongo, NAIROBI EXPRESS WAY NI MALI YA MCHINA! CRBC was responsible for its design, financing, construction and will also operate the road for about 27 yrs, wakunya mna lenu hapo? endeleeni kutozwa, ndiyo maana tunawaambia mnayo GDP kubwa isiyokuwa na uhalisia wa mkunya. FAILED STATEKubali tu mumeshindwa..takwimu zikitolewa mnalalamika waga..wenzenu wakija uku na kurudi kuwa hadithia bado mnalalamika..Hivi na mkiwa na akili kama haya mnaweza endelea kweli?bakini tu hivyo hivyo...
kunyaland ni kunyaland tuukiwa ombaomba hata upewe kilichooza huwezi uliza! Sasa chinese roof in an African country wapi na wapi? Mbona wasiweke manyati? Utumwa bwana!
Hizo za waarabu zenye mmejaza huko kwenu hamzioni?ukiwa ombaomba hata upewe kilichooza huwezi uliza! Sasa chinese roof in an African country wapi na wapi? Mbona wasiweke manyati? Utumwa bwana!
Endelea kuota ndoto za alinacha,Kama korosho zilitushinda kulipa tungeingiaje kwenye hii biashara hatari huku ukijua Marekani wanakuchora tu ujichanganye na wewe upigwe cha Moto.Kwa nchi za ulimwengu wa tatu hufuata sanction za US automatically.Kumbuka wakati wa JPM akina kabudi walivyo haha kuipinga meli ya Iran iliyokuwa na mafuta huku ilipeperusha bendera ya Tanzania illegally.Hofu ilikua ni kutomkwaza US
Nairobi expressway will be the most beautiful road in Africa[emoji3059][emoji3590]
View attachment 2154469
View attachment 2154470
UA reason I don’t like politics hasa hizi uchwara za upinzani,
Korosho watu walilipwa wote tena on time,
Naye kaona kaongea jambo la maana kweli hiiiiiiiiA reason I don’t like politics hasa hizi uchwara za upinzani,
Korosho watu walilipwa wote tena on time,