joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Unfortunately in Kenya 77% of mobile loan users can't repay[emoji23][emoji23][emoji23]kenya haiwezi kua tanganyika, unapoangalia hii nauli kes150, jua per capita ya kenya ni zaidi ya mara mbili tanganyika. mtu wa kadri kama mimi sijawai hisi kufinyika hata sikumoja, na maisha inazidi kusonga taratib kilaleo.. nauli ya ksh150 ni reasonable huku. huko kwenyu najua itakua ni balaa....
Dreamhouses kila mahali.Imagine ingekua dar vituko ungeona [emoji28][emoji28]
Urban planning ni gonjwa la taifa. The fact that there are people in office getting paid but they do absolutely nothing makes me sick to my stomach! Some People do build impressive homes, but barabara ni za vumbi, sewerage systems ni nonexistent, no parks or gardens, no community centers; essentially, suburban Tanzania is VERY Ghetto! Ni aibu! Pia watu wanajenga mahali popote wanapotaka, angalia slums za Mwanza, I’m sure those hills look like the favelas of Rio de Jeneiro.Dreamhouses kila mahali.
Per capita ya UK ni kubwa mara kadhaa ya kenya lakini nauli ya london buses ni cheap kuliko hiyo yenu.kenya haiwezi kua tanganyika, unapoangalia hii nauli kes150, jua per capita ya kenya ni zaidi ya mara mbili tanganyika. mtu wa kadri kama mimi sijawai hisi kufinyika hata sikumoja, na maisha inazidi kusonga taratib kilaleo.. nauli ya ksh150 ni reasonable huku. huko kwenyu najua itakua ni balaa....
Hawa jamaa ni vituko sana unakuta mtu kapiga suti na tai utafikiri ni mtu wa maana sana sasa muangalie anapokwenda kulala sasa kiberaaaa[emoji1787]Hahahaha, "largest American Embassy in Subsahara Africa is in Nairobi Kenya", this is typical Kenyan stupidity, kujisifu kwa kila kitu bila ushahidi wowote.
By the way, kuwa na ubalozi mkubwa wa USA nchini kwako wakati mnaenda kukopa na kuomba msaada China, bado njaa ni janga la taifa, mnashindwa kuzuia Alshabaad kushambulia wakenya, ninyi mnafaidika kitu gani zaidi ya sifa za kijinga?
hiyo mitahira haielewi na ndiyo maana inaongozwa na familia chache tena za kabila la wakikuyu na wakaenjini pekeePer capita ya UK ni kubwa mara kadhaa ya kenya lakini nauli ya london buses ni cheap kuliko hiyo yenu.
nyangau hawaelewi, wanaona sifa jirani kujiimarisha katika chumba chake na mkewesasa tuseme marekani hua anafurahia munavouana na hzo chuki za tribalism? marekani atakua rafiki endapo ana maslahi na ww yakiisha maslahi basi anakua adui hua hana rafiki wa kudumu hio weka akilini
Kwani mnajua hata manaa ya usafi wakunya?
Hehehe, yani wabongo na kuwa unknowledgeable ni kama chanda na Pete. Bus fares za UK hizi hapa. The cheapest for an adult ni 1.65 pounds yani shillings za Kenya 245.Per capita ya UK ni kubwa mara kadhaa ya kenya lakini nauli ya london buses ni cheap kuliko hiyo yenu.
Yan nyiny gharama zikiwa chini mnasifia zikiwa juu mnasifia piakenya haiwezi kua tanganyika, unapoangalia hii nauli kes150, jua per capita ya kenya ni zaidi ya mara mbili tanganyika. mtu wa kadri kama mimi sijawai hisi kufinyika hata sikumoja, na maisha inazidi kusonga taratib kilaleo.. nauli ya ksh150 ni reasonable huku. huko kwenyu najua itakua ni balaa....
Katika hili sijui tuna tatizo ganUrban planning ni gonjwa la taifa. The fact that there are people in office getting paid but they do absolutely nothing makes me sick to my stomach! Some People do build impressive homes, but barabara ni za vumbi, sewerage systems ni nonexistent, no parks or gardens, no community centers; essentially, suburban Tanzania is VERY Ghetto! Ni aibu! Pia watu wanajenga mahali popote wanapotaka, angalia slums za Mwanza, I’m sure those hills look like the favelas of Rio de Jeneiro.
Masaki being “the best-planned part of Dar” shows Tanzania’s failure. Masaki was a predominantly European suburb during colonial times, and Westerners love organization and aesthetics. So you can see just how well-planned the Msasani peninsula is. But the rest of the city is simply in shambles! Even other affluent areas, such as Mbezi Beach are not as carefully planned and maintained as Msasani! Does this mean that locals don’t deserve to live in well-planned neighborhoods? You tell me! Ni aibu kuwa sehemu wanayokaa foreigners wengi ndio bora Zaidi kuliko sehemu yoyote wanayoishi locals Dar es salaam.
Serikali iunde agency inayojitegemea kwa ajili ya land administration na town planning na iwe iquiped.Katika hili sijui tuna tatizo gan
Hv mpaka leo hawajah kuwaza kuhusu hili tatzo au wanaplan gani kwa mnaofaham[emoji848]Serikali iunde agency inayojitegemea kwa ajili ya land administration na town planning na iwe iquiped.
watoto wana miguu mizuri na viuno shungo ya chupa
inshot dar lazima igharamike in future kwa kufumua maeneo yasiyo na mpaka ,haswa itaanzia maeneo yaliyokaribu na mjini,Hv mpaka leo hawajah kuwaza kuhusu hili tatzo au wanaplan gani kwa mnaofaham[emoji848]