Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio Geza ujuwe kwamba Kenya tunaheshimika. Marekani anaanza kuogopa sana kwamba kutakuwa na machafuko Kenya kwa maana sisi ndio anchor state wa Marekani ukanda huu na hangependa kupoteza rafiki yake. Uganda nao wanalia sana kwamba uchaguzi wa Kenya unaweza kuleta shida ya usafirishaji wa mizigo. Tanzania ilipokuwa na uchaguzi mwaka uliopita, Uganda na Marekani hawakusema lolote. Ndio muendelee kuita Kenya failed state tu ila nchi zingine zinajua baba yao ni nani ukanda huu. Natumai habari umeipata pamoja na hawa watu
joto la jiwe The best 007 ichoboy01
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…