Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mshamba kisa hajui mnakula udongo?[emoji23][emoji23]
Wakunya bhn, eti kwasababu wao wanasumbuliwa na njaa wanatafuta pakulinganisha na sisi ili ionekane wao wana njaa na sisi pia tuna njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa hapo cha ajabu nn? Huo udongo wanakula wanawake wote wa Africa pale wanapokuwa wajawazito, utakuta mwanamke ni mfanyakazi ktk ofisi kubwa na ana pesa na anaishi kifahari lkn anaenda kariakoo kununua udongo kutokana na mimba yake kuhitaji icho kitu.

Msifosi tufanane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Hawa kondoo hawanaga akili. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshamba kisa hajui mnakula udongo?😂😂
Hujawai kuona mtoto mdogo anakula udongo?? Umewai jiuliza kwa Nini anakuwa na hamu ya kula udongo.. Au ukuwai kukutana na mtu anakula kucha zake?? Jiulize ki sayansi ni kwa Nini??
 
Wanawake wa Kenya huwa hawali udongo?

Nimeona huko Kenya sio udongo tu wanakula hadi mawe.

mnapoteza mda kwa hao kondoo wakikenya,wanaigiza maisha humu wakati hivyo vitu kwa jamii ya afrika na hata watu weupe ni kawaida,
kila kitu wanajua hao sema mbwembwe tu wanajitoa ufahamu,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…