Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi zinazotumia stima zimeanza kutumika Kenya. Charging stations pia zimeanza kujengwa.
The best 007 ulisema kwamba hakuna kitu ambacho kiko Kenya ambacho hakiko Tanzania. Hebu nionyeshe basi ya umeme hapo Tanzania.

Cc Sama boy 255
Oya...tangu mmeamua kuondoa Nduthi wote barabarani Jamu imepungua sana...
 
Ninakumbuka mlisema kwamba mliamua kujenga reli ya diesel engines kwasababu Kenya hakuna umeme wa kutosha, Sasa mbona mnafurahia hizi buses zitapata wapi umeme?
Hizi basi zinatumia betri muda mwingi kisha baada ya masaa kadhaa ndio inachajiwa. Treni upande mwingine inahitaji constant supply of power kwa maana hakuna treni yoyote duniani inayotumia betri. Natumai umelewa tofauti hapo.
 
Hizi basi zinatumia betri muda mwingi kisha baada ya masaa kadhaa ndio inachajiwa. Treni upande mwingine inahitaji constant supply of power kwa maana hakuna treni yoyote duniani inayotumia betri. Natumai umelewa tofauti hapo.
Kwa mara ya kwanza EA itakuwa na train zinazotumia batteries powered technology na zitaanzia Tz zinaitwa Staddler.
 
😆😆 hawakujua ilikua ni kwasababu tu ya corona.. sasa enzi ya corona isha zama, we are back on track..
i tell them everyday hakuna takwimu ata moja itakua in favour of tanganyika, may be tu ranking ya east africa music artistes
 
welcome egypt [emoji106][emoji106][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Wao wanajengewa vitu vya kipumbavu eti xpress way ambayo haitaajiri hata mkunya mmoja, na ambayo haitarudisha pesa na ambayo kimsingi hakuna mkunya maskini atatitumia, ila cc investors wanakuja kujenga miradi yenye tija kwa watanzania wote, baada ya elsewedy kujenga huu mradi wallahi nawaambia hii nchi itachomoka kwa speed ya light kwenye maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…