The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hehehe mkuu soma tena mkuu nimesema watakuwa nazo baada ya miaka mia 5 co mi5 na wala co 30-50[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We unafkiri hizo treni za umeme watakuanazo baada ya miaka mitano.? [emoji28][emoji28][emoji28] It will take them 30-50 years
Kama inavyoshangaza kuna watu humu ndani wanashabikia mabeberu, mbn hao mabeberu hawaingilii pale Al shabaab inapowaadhibu wakunya lkn wanaenda kuingilia ugomvi wa Russia na Ukraine kitu ambacho hakiwahusu? Hapo maana yake wana interest zao na ndiyo maana kuna watu humu ndani wanaakili na wanapinga huo unyonyaji.inashangaza sana kuwa humu ndani, kuna watu wanashabikia urusi...!?[emoji848]
Dodoma house designs are crap.🚮🚮ila hizi tiles na wall finishing imefanya nyumba kuwa kama ofisi! IMHO
Kama wanavyosemaga wanahitaji green spaces ndiyo maana ka Nairobi kana msitu mnene lkn huo msitu ukikatwa ili kupisha ujenzi wa majengo wanashangilia, alafu hapo hapo utakuta wanajipa matumaini kwamba ka Nairobi kanawaka kuliko Dar isiyo na mapori.Ninakumbuka mlisema kwamba mliamua kujenga reli ya diesel engines kwasababu Kenya hakuna umeme wa kutosha, Sasa mbona mnafurahia hizi buses zitapata wapi umeme?
Watu wanaunganishwa kila siku update takwimu zakoGood evening ladies and gentlemen. Let's remind ourselves that Tanzania with a population of 60+ million has only 2.7M customers connected to electricity while Kenya with a population of 47M has 8.5M customers connected to electricity [emoji4][emoji4]
View attachment 2144927
View attachment 2144928
👆🏽 well put in the reporting, kenya has a total installed capacity of "2,995mw.." of electricity in 2022.....Basi zinazotumia stima zimeanza kutumika Kenya. Charging stations pia zimeanza kujengwa.
The best 007 ulisema kwamba hakuna kitu ambacho kiko Kenya ambacho hakiko Tanzania. Hebu nionyeshe basi ya umeme hapo Tanzania.
Cc Sama boy 255
Do you even listen to yourself? So a population of 60M is waiting for the government to build high rises for them?😂😂😂 Kweli mnatumia 1% of your brain to reason🤣Japo Nairobi haizidi dar kwa high rise buildings but most times Tz huwa wanawaachaga Ke wawe na head start kidogo then tunakuja na vitu murua kama kwenye sgr. Magu stopped all building construction by government agencies but now we are back in style.
Yes Mr, while in Tz the 2.7M inakaa kwenye 95% of Tanzania land.Hiyo 8.5 million ndio inakaa kwenye 20% ya Kenyan land? I gathered that from the satellite images showing lit areas at night.
Kwa Mambo ya umeme tuliwaambia mkae pembeni kidogo. You are still a toddler in that sector.For political consumption PDU ingenious
Kama inavyoshangaza kuna watu humu ndani wanashabikia mabeberu, mbn hao mabeberu hawaingilii pale Al shabaab inapowaadhibu wakunya lkn wanaenda kuingilia ugomvi wa Russia na Ukraine kitu ambacho hakiwahusu? Hapo maana yake wana interest zao na ndiyo maana kuna watu humu ndani wanaakili na wanapinga huo unyonyaji.
Mkuu watu washazoea propaganda za kudanganywa,mtu akielezea ukweli wa hali halisi ya dunia ilivyo sasa hawataki,hao ndio wale wanaosubiria hiace zao za pesa ya makinikiaMzee these things are serious. Mama anatutaarisha. Hii vita isipoisha mapema shughuli yake itakuwa sio ya kitoto.
Maikilize jamaa wa FOX news anavyochambua hapa.
They really hate the truth and that's why you will never see a Tanzanian arguing using facts. I can remember when Knight Frank placed them above Kenya in terms of millionaires, they were making noise here Kila siku. This year wanakemea the same Knight Frank because it returned Kenya to her rightful position.You know how to bite their heads off.🤣🤣
Tuletee hiyo yako updated tuone😂😂🤣Watu wanaunganishwa kila siku update takwimu zako
Upper hill na westy ni wap ni bora zaidi
Upper Hill for business, Westy for enjoyment.Upper hill na westy ni wap ni bora zaidi
Wauaji huwa hawakosekani,Hawa ndio walikuwa wanashabikia mauaji na kutekana awamu ya 5.inashangaza sana kuwa humu ndani, kuna watu wanashabikia urusi...!?🤔
Kumbe unajua,unashabikia kuuana kwa nini?umewahi kuona mapigano gani ya kivita huwa wanakufa upande mmoja,au vifaa vya kivita vinaharibika upande mmoja ?
ulitaka vifaa vya Russia na Jeshi lake kwa ujumla kusitokee na madhara hata kidogo?,,
kwenye vita yeyote ile lazima mpunguzane ila mwisho wa siku lazima bingwa aibuke,na bingwa hupatikana baada ya uharibifu na madhara makubwa kutokea uwanja wa medani,
WAIT MDA WA HITIMISHO wa huo mgogoro ufike ndiyo tutajua nani ni nani na yupi ni nani siku zote mda huongea uhalisia wa mambo
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app