Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stable engineering architecture at work. Jamaa wanajiita stable lakini mnatengeneza unstable building
 
na katika hio 575 nusu yake ni pori bado 🤣
 
Kwenye mikataba wawe makini isiwe kama ya reli ya TAZARA maana Zambia kama wanapewa favour sana . Lakini reli haitumiki effective
 
Let me ask you a simple question and I hope you answer like someone with a brain.

Dar es Salaam was 1500sq.km in 1960, it is still 1500sq.km in 2022. Can we say Dar es Salaam has not grown in size since 1960?
 
Your city lacking a forest isn't something you should be celebrating bruh. You should be crying instead.
 
Mshindane nao kwa slums, corruption, hunger and rosy gdp figures?
 
Russia will one day regret their invansion.Today China is refusing trading in Ruble,in some markets Ruble has reached 154 per USD.In short Russian may enter economic ressssion in their history.
If necessary steps are not taken soon to repair the damage Russia will be worse off than at the time of the breakage of USSR.
 
Hivi tony ww unaweza survive na $1800 kwa mwaka mzima?hela kiduchu namna iyo unaishije? Kenya is poor as tz ila hali ni mbaya zaidi tz
Hali mbaya kwenu huko mnapohangaika na njaa, cc huku tushaachana na huo upumbavu wa GDP.
 
Kwenye mikataba wawe makini isiwe kama ya reli ya TAZARA maana Zambia kama wanapewa favour sana . Lakini reli haitumiki effective
Tukishamaliza kuunganisha Rwamda Burundi na Congo tutaunganisha pia na Uganda and lastly our dear neighbours up north ila shida itakuwa kwenye stima na fish joints maana operational and maintenance costs zitaongezeka if we join our rail na Kenyan SGR.
 

Ndo mliambiwa mkiandika hivi kwa uchungu ndo Watanzania watajisikia vibaya au kujiona dhaifu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Jaribu tena maana baaaado.

Stupidi mankii ninyi.
 
Let me ask you a simple question and I hope you answer like someone with a brain.

Dar es Salaam was 1500sq.km in 1960, it is still 1500sq.km in 2022. Can we say Dar es Salaam has not grown in size since 1960?
Has grown in built up spaces but has not entirely exhausted the demarcated area though there are plans to increase the area as Dar is implementing a DMDP (Dar es salaam Metropolitan Development Project)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…