Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe hujui kuhusu scandal ya Modema.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
moderna kwani ina scandal gani tena.!? fitna sio jambo geni kwetu, nikitu tunakumbana nayo kilaleo na maisha inazidi kusonga
 
Communist countries ain't stagnant
 
Wacha kujiabisha na viramani vya kuokota okota huu mjadala tulishamaliza kitambo sana Dar inwaka taa kuliko chochote hapa EA
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚I see you chose violence today! long may it continue
Naona unashabikia upuuzi kama kawaida yenu kenyans kusapitiana upumbavu
Watuambie mbona pori zetu ziko na lights whereas dreamhouses zao ni giza "tororo" 🀣🀣🀣
Haya nakutoa Tongo Tongo sasa .. Dar at night πŸ‘‡ vs Nairobi at Night πŸ‘‡ .. kwaakili zako ni mji gani hapo unawaka taa eneo kubwa zaidi kuliko mji mwingine.? Mana Dar picha inaonyesha taa zinawaka jiji zima and kama unavyojua Dar is two times larger than NAIROBI ambayo humo humo kuna mbuga za wanyama πŸ˜‚πŸ˜‚

 
ahah.. πŸ‘πŸΌsiivo .. turudi kwa level playing ground... 1000km into the space
 
Sasa hii pia unataka kupingana kwamba Nairobi inawaka zaidi kushinda Dar? Tafuta battle ambazo unaweza kushinda. Usishindane na ndovu kunya utapasuka msamba.
 
well put bro.. most kenyans barely knows anything thts going on down there... not even their current president. we never discuss tanzania here. but i hear kenya trends in tanzania like hell..!! in almost all media platforms per se. imagin kenyans still think dar es saalam as the capital and not dodoma. its only the few of us here in this forum that are now well vast with what tz realy is. but prior to me coming here, i totaly knew nothing.! what mostly sell tanzania here is their music artistes, nothing else. once they release a track, their first stop is kenya. look at diamond platnumz and ali kiba or even rose muhando and maria susho. we never see any tanzanian manufactured products or even their companies here. tanzanians here are stereotyped as beggars or they came to look for greener pastures. you'll never find any kenyan bigger in a tanzanian street, thought here in this forum, they realy claim tht we live in shanties and slums. then why do they come to beg in the first place.....?

yatafakari hayo πŸ€”πŸ€”
 
Kwan korona bado ipo au ndio bizness as usual
It's not just a corona vaccine center it's a VACCINE CENTER there will be research for other vaccines and medical researchers will be doing there researches there. It will be the biggest in Africa if not the only one I believe. So that puts Kenya as a research hub for Africa. Usijali majirani tutakuwa tunawaita mjifunze pia nyinyi kidogo Kwa lab zetu mpya 😊
 
Wapi ulipoonesha kwamba elevated section imezidi 8km?
 
There will be lots of researches in other diseases like ebola, HIV, polio and the like. Our own will gain alot in the experience too. Lots of job opportunities we represent the whole of Africa now in mRNA researches
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…