Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Russia has almost twice number of nuclear heads compared to USA
 
Wacha kujidhalilisha, vita vimekwisha kilichobaki ni kufagia mabaki ya jeshi la Ukraine.
 
Wacha kujidhalilisha, vita vimekwisha kilichobaki ni kufagia mabaki ya jeshi la Ukraine.
Wacha kuongea mambo ambayo huyaelewi. Kama vita vimekwisha mbona Urusi mpaka sasa hivi imeshindwa kuiteka Kiev?
 
Wacha kuongea mambo ambayo huyaelewi. Kama vita vimekwisha mbona Urusi mpaka sasa hivi imeshindwa kuiteka Kiev?
Ninarudia tena, wacha kujidhalilisha vita vimekwisha. Ninyi hamjawahi kupigana hamjui lolote kuhusu vita, unadhani jeshi linaweza kupiga hapo Nairobi na kuteka mji bila kutoa muda kwa raia kuondoka?, Hiyo inaitwa "Uhalifu wa kivita "na lazima uwajibishwe ktk mahakama ya ICC
 
Dar ipo, kwn expressway c flyover iliyoongezwa urefu tu? Alafu ka expressway kenyewe sehemu iliyoinuka ambayo kimsingi ni flyover ni only 8km.
The way you say 8km only like you have more🤣🤣
You are not KENHA, you are not google maps,the contractor or even a Nairobian for that matter, what entitles you to think you have any opinion or that we care about any of it??

Na tukisema mnapigana sana miti mnabisha, yn kamji kana 696km² na mpo over 5mil au 6mil, Deben Ina zaidi ya 2200km² wapo mil 3 pekee na bado wamewazidi kwenye uchumi. Sasa hapo huoni kama umejidhalilisha?
Hauna aibu kusema nairobi ni pori tupu na ukubwa wa dar kushinda Nairobi ila....

Even though dar is more than double Nairobi, check out these satellite images and compare the two cities
 
The way you say 8km only like you have more🤣🤣
You are not KENHA, you are not google maps,the contractor or even a Nairobian for that matter, what entitles you to think you have any opinion or that we care about any of it??
😂😂😂😂I see you chose violence today! long may it continue
 
The only time i hear about tanzania is on this forum 🤣🤣🤣 hao niliona wanatu discuss day in day out(saw some trends on Twitter nashangaa nairobi and kenya huwa ina trend huko)...majority of kenyans including my own friends know nothing about tz including simple facts like they still think Dar is the capital..who talks about TZ really...save for when something trends like tundu lissu getting shot or ule jamaa wa "ooliskia wapi" 🤣

Russia has almost twice number of nuclear heads compared to USA
lakini kuna data accurate za Atomic Regulatory Body, ..think difference ni mia mbili tu.! its was 7,000 vs 6,800 in 2017. but sahizi ni around 6000 vs 5,800.. yani hakuna mwenye atakubali mwengine awe na nyingi zaidi, wataenda tu wote kwa mwendo sambamba, kisa wanaogopana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…