Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ili uheshimike na GDP yenu lazima muhakikishe i na reflect kwa ground...siumeona ulivyo uhanya mji ya tatu SA, kwasababu kuna reality kwa ground...ila hatuwez kurespect ata Nigeria kutokana na ilivyo ya hovyo kwa ground
note tht whatever dilutes nigeria's otherwise big economy is actualy the number of people in tht country. the same case apply to India. whenever u look at gdp size, also look at the number of pple that share tht cake. so usiwai jaribu kulinganisha tz na ke. we re both traveling in opposite directions.. tht wht id reffer to as parallel programme..
 
su 34 zipo mpaka ukraine millitary 🤣🤣🤣
Ukraine hawana SU 34. SU 34 ni modern jet na Russia imeuzia nchi chache mno. Na Russia haiwezi uzia adui wake modern jet kama hio. By the way, hata SU 35 imeangushwa. Leo SU 30 imeangushwa. Wewe baki hapo ukichekacheka. Nenda twitter kafuatilie kwa undani.
 
naskia gas imepanda kwa gharama kubwa haijawah kutokea ulaya 🤣🤣🤣🤣

Halafu inakaa kama huu mgogoro umetengenezwa ili US kuuza silaha na kupoka soko la gesi na mafuta la Urussi EU! Mimi binafsi naamini the UK na US wanataka kuisambaratisha EU!
 
Vitu kama hivi ( brt, catenary cables ovet rail, cable cars etc) hapa east africa utakuta Tanzania tuu. Anayebisha aje hapa.
 
Akuna cha mana apooo hao hawachukui wiki mbili kazi itakuw imeishaaa
Leo ni siku ya 12. Mbona wiki mbili zimekweisha na Russia hakuna alichokifanya. Alidhani atateka Kiev kwa siku mbili ndio maana ule msafara mrefu kaskazini mwa Kiev umekwama kwa kukosa mafuta. Sio vizuri kudharau adui yako. Msafara huo umekwama kwa siku sita sasa. Ukraine wanastahili kutuma jets kadhaa walipue kabisa huo msafara uliokwama.
 
propaganda za waume zenu sisi tunazijua 🤣🤣🤣🤣🤣
 
ww vita hujavijua bado hawez kuingia kiev akapiga ikiwa ukraine inazuia raia kuindoka ndio maana imetoa tamko wakazi wote wa kiev waondoke ila huyo rais wa ukraine anawazuia kama ngao ya russia kutopiga kiev ila soon utaniambia tu ntakutag usijal😂😂
 
Fuata hizi nyuzi kwenye twitter ujionee. Kuna huyu anaitwa Rob Lee na kuna nyingine inaitwa Ukraine Weapons tracker. Utaona jinsi Russia anavyopigwa vita takatifu.
Fuatilia BBC wapo "Live" katika miji ya Ukraine, wanasema ukweli achana na hizo twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…