Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

according to western propaganda lakini russia hata kwa technology za military na space hata america baba yenu anasubiri miaka 100🤣🤣🤣

yani nyinyi wazungu ndio wanakutueni ujinga miaka yote na ndio waliondoka na akili zenu
 
unao ushahidi kua ni za russia ukipata nitag😂
Hivi vifaa ambavyo vimepigwa kombora zimekuwa majivu jivu pia utapinga kwamba sio za Russia? Umeona BM-21 grad ya Russia kwenye picha ya tatu?
 
Hivi vifaa ambavyo vimepigwa kombora zimekuwa majivu jivu pia utapinga kwamba sio za Russia? Umeona BM-21 grad ya Russia kwenye picha ya tatu?
kwann ulete media za ukraine na je hujui kuna propaganda nyingi wamezitengeneza mpaka za kutangaza rais wao kaingia vitani na kumbe ni uongo zile picha zilipigwa two years back alipotembelea kambi ya jeshi?🤣
 
Fuata hizi nyuzi kwenye twitter ujionee. Kuna huyu anaitwa Rob Lee na kuna nyingine inaitwa Ukraine Weapons tracker. Utaona jinsi Russia anavyopigwa vita takatifu.
Akuna cha mana apooo hao hawachukui wiki mbili kazi itakuw imeishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…