Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio rafiki yako bali ni wewe Zezeta ulijibu hivyo sababu akili hujawai kuwa nazo
 
Hahaha. Yaani Durban ambayo ni mji wa tatu kwa ukubwa SA inatuhemesha hivi na Cape town je ambayo ni mji wa pili kwa ukubwa? Cape town itatufunika kabisa. Oya Sama boy 255 hebu mwaga picha za Cape town kidogo tuone mahali ambapo miji yetu itakuwa baada ya miaka kumi.
 
Nkitu chaa ajabu kuwai kukiona [emoji35][emoji35][emoji35]..na niserikali imeona hiii ndio kitukizuri kabisa na VP akaenda aiseeeeeh
 
Yani nikiona hiii habari natamani kupasukaa
 
[emoji23][emoji23][emoji1787]kinyonge sana
 
Wewe hujanielewa. Ndio maana nimesema ujenzi ulisitishwa. Point yangu ni kusema kwamba plan hii sio geni, hii plan imekuwa kuanzia zamani ila ilisitishwa wakati wa Magufuli.
Sababu ni plan chengaa...alikuw nayo JK, sasa bibi anamalizana nayo...yani nikichefuchefu[emoji36][emoji36][emoji36]
 
Wewe pia uheshimu gdp kama mimi ninavyoiheshimu. Wewe una mazoea ya kupuuza gdp na kusema kwamba gdp ya IMF ni ya kupuuzwa. Mbona mimi nimeona Durban ina gdp kubwa kushinda Nairobi na nimekubali mara moja?
Only if it reflects reality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…