Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heb fanya research sutaki kujiabisha leo, usiwe na tabia ya kuzungumzia vitu usivyovijua
Nipo 100% sure ninachozumgumzia. Durban city ambayo iko Kwa Zulu Natal province ina gdp ndogo kushinda Nairobi. Ina watu wachache kushinda Nairobi. Kinachoisaidia ni port of Durban ambayo ni the biggest port in Sub Saharan Africa lakini Durban city yenyewe ni kadogo sana. Kama unataka battle basi tuanze sasa hivi. Leta facts zako mimi nilete zangu.
 
Unajua kwamba Durban iko na population 3.1 m.?
 
aloo.. durban bado sana kwa nairobi

View attachment 2141691View attachment 2141692

vs the very best of dar

View attachment 2141693
Kwnn huwa mnapenda unfair competition? Alafu nashangaa watu wanakupeni air time kizembe zembe, yn mji hauna miundombinu ya kisasa uende ukafananishe na miji ya watu iliyojengwa since 60s? Mji hauna BRT, electrified SGR, modern Airport wala modern bus terminals mnakwenda kushindanisha na miji ya kisasa hamuoni aibu? Alafu watu nao wanawajibu kabisa, mbn cc Dar ina modern infrastructures lkn tumekausha? Wacheni ujinga.
 
zwazwa amekasirika baada ya kuskia safaricom umiliki ni huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
nye nye nye kelele nyingi wakat investors wa nje wanapiga pesa wanakimbiza kwaoView attachment 2141818


Kawivu kanawasumbua, Kumbe hii Safaricom inawakera sana eh...


Kwenye hio 25% ya free float Wakenya na kampuni za Kenya kwa jumla zinamiliki 50%, Kampuni za kigeni ambazo top 5 zinatoka Canada, USA, Russia, Germany zinamiliki kama 45% Alafu wanabiashara binafsi kutoka nchi za kigeni (Ambapo hao kina Rajabali Brothers ndo wanaingia) wote kwa ujumla wanamiliki 0.4% ya 25% ya safaricom.


ALafu ukumbuke Mbali na Shareholding, usisahau safaricom iko na wafanyikazi zaidi ya 6,000 amabao wanapokea mshahara directly, Wanalipa advertisments za mamilioni ya dollar kwa kampuni nyengine za Kenya.... etc etc


Na usisahau kwa kila Call, SMS, Mpesa Transaction, kuna kodi ambayo Safaricom inalipa Serekali, Alafu juu yake ndo unaongeza na ile 35% shares za profit inarudi kwa serekali kila mwaka....

Kwa mfano, mwaka wa 2018, Serekali ya kenya ilipata $400 Million kutoka kwa Safaricom directly!!!!! Niambie ni kampuni ngapi Tanzania zinaweza unganishwa zifikie karibu na hapo πŸ˜…

 
Nilikwambia ufanye research kabla hujaleta hoja yoyote kuhusu Durban Tony254 yani ni NAIROBI nne ndio sawa na ukubwa wa Durban NAIROBI πŸ‘‡vs Durban πŸ‘‡sijaja kukuaibisha
 
Just imagine ka Nairobi bila hivyo vijengo vya mchina, hebu vitoe kwa macho yako alafu nipe jibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Mwanamme mzima jasusi namba moja kutishia kulipua watu na kombora la Nuclear wakiingilia vita kati ya Russia na Ukraine ni jambo la kusikitisha sana, nilitarajia Weak strongman kama North Korea kutoa matamshi kama haya lakini si mtu wa kuheshimika kama Putin..... Vitisho vingi ni sign of weakness, not strength,

Hivi unajua kwamba Marekani ilipovamia Iraq wakidai Iraq iko na Weapons of Mass Distruction, Marekani ilishtumiwa vikali na nchi zengine? Hivi unajua wakati huo ndo kulikua na the biggest Anti-War campaign in the world, kushinda hata hii anti-War campagn inayofanyiwa Russia sahii??? Uliskia marekani ikitishia mtu yoyote ambaye alimpinga??? Uliskia marekani ikitaja neno nuclear???? Russia siku ya tatu ya vita tayari walikua washaanza kutishia kutumia nuclear kwa yeyote atakayeingilia vita.


Alafu uliza mtu yeyote ambae ameshawahi kufika Russia, atakwambia nje ya miji mikuu, Russia ni kama 3rd world Country, Hawana uchumi wa kulingana na IMF na pia hawana uchumi kulingana na warusi wenyewe, Ingekua si Oil na Gas Russia ingekua nchi hafifu sana....
 
Mm nashangaa mnavyowapa air time kuhusu Deben vs Ka Nairobi, ni mbingu na ardhi. Inatakiwa mkiona wanaanza kuongea upumbavu wa kulinganisha ka slum town Kao na miji ya watu iliyopangiliwa basi muwe mnawaacha wajiconsole wenyewe mana wengine huwa tunaona kinyaa hata kuongelea huu upuuzi.

Kamji hakana reliable public transportation, kamji hakana modern infrastructures ndiyo mkaifananishe na Deben, mkiwajibu kesho watataka battle na Joburg wasenge hawa, muwe mnawaacha na upumbavu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…