Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
tafauti ni kubwa mkuu.. kenya tuko na mrundiko wa taa kutoka machakos hadi lake victoria, hadi mt elgon.. kwa umbali sana kama vile za sa, yani conurbations ama agglomeration, jambo ambalo tz halikoNaona taa nyingi SA na misri,sioni tofauti yyte kati ya Kenya na Tz na kama ipo ni ndogo tu
Sasa Kama tumeamua kuachana na matumizi ya umeme kwenye viwanda ambako ndiko kwenye matumizi makubwa ya umeme, badala yake tunatumia "Natural gas na coal, vipi unataka tujilinganishe na ninyi ambao hamna "alternative means?", you depend entirely on electricity, we are not like you[emoji23][emoji23][emoji23]yani jiwe la moto.... mi nataka tu Watts za stima kwa ujumla, sio ubeat around the bush.. umeskia dogo
Sisi town zetu ziko mbalimbali ukiangalia unaona izo taa ziko scattered lakin zipotafauti ni kubwa mkuu.. kenya tuko na mrundiko wa taa kutoka machakos hadi lake victoria, hadi mt elgon.. kwa umbali sana kama vile za sa, yani conurbations ama agglomeration, jambo ambalo tz haliko
Kaongea kwa uchungu kama cc ndiyo tulisababisha wawe mafukara wa kuomba chakula, wawe na tribalism ya kushinda dunia nzima, wawe na nepotism ya kutisha, au wawe na unemployment rate ya ajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mfano, tea factories za kericho wanatumia kuni ya miti waliopanda wenyewe.. lakini fossil fuels ndo inatumika ata zaidiSasa Kama tumeamua kuachana na matumizi ya umeme kwenye viwanda ambako ndiko kwenye matumizi makubwa ya umeme, badala yake tunatumia "Natural gas na coal, vipi unataka tujilinganishe na ninyi ambao hamna "alternative means?", you depend entirely on electricity, we are not like you[emoji23][emoji23][emoji23]
ile lamu inafanya kazi gani 😂😂😂
sipendi makaratasi mimi, i truly believe in whts tangible.., whts on ground.! 👇🏼zwazwa anasema nairobi city ni kubwa kuliko dar 😂😂😂😂😂
na hili pia tupige ramli 😂😂👇👇 na ndani ya 696km sq za nairobi kuna national park ambayo inachukua area almost a half
View attachment 2137901View attachment 2137902
akili yako inatokea kwenye kalio gni la kulia au kushoto ?? unanionesha nn mm 🤣🤣🤣sipendi makaratasi mimi, i truly believe in whts tangible.., whts on ground.! 👇🏼View attachment 2137907
Sababu Moja kubwa kwanini Tanzania tumenyakua masoko ya Uganda, Rwanda, DRC na Somalia kutoka kwa Kenya, ni kwasababu bidhaa za viwanda vya Kenya ni ghali Sana ukilinganisha na TZ.mfano, tea factories za kericho wanatumia kuni ya miti waliopanda wenyewe.. lakini fossil fuels ndo inatumika ata zaidi
utajuaje umuhimu wake wakati UN enyewe wewe unai Google wakati sisi tuna interact nao hapa NairobiMbona pamoja na kuwepo kwa hizo UN offices lakini bado Kenya inaongoza kwa unemployment in EA, hizo ofisi zimesaidiaje?[emoji23][emoji23]
Nyinyi mnauza tu mahindi huko Uganda and Rwanda. Mambo ya manufacturing iliwapiga chenga na sioni kama Tz will sort it out any time soon.Sababu Moja kubwa kwanini Tanzania tumenyakua masoko ya Uganda, Rwanda, DRC na Somalia kutoka kwa Kenya, ni kwasababu bidhaa za viwanda vya Kenya ni ghali Sana ukilinganisha na TZ.
Sababu kubwa ya bidhaa za Kenya kuwa ghali ni Bei ya umeme, 99% ya viwanda vya Kenya Hutumia umeme wakati Tanzania 59% ya viwanda vinatumia gas ambayo ni" cheaper" kuliko umeme
Na uhakika aslimia 100 kenya yupo upande wa mabwana zao