ngoja nikwambie kitu bro dunia hii pesa iko nchi za kiarabu yani asikudanganye mtu na watumiaji wa pesa dunia hii ni waarabu na bahat nzuri tanzania na nchi za kiarabu zina historia kubwa, tuombe Mungu ila mambo yatakaa vzr sanaHuyu Mama cjui kawapa nn waarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yani wanalaana mbaya sana ππππhalafu hiyo hospital ati ni Tshs 120 bln! ile ya Musoma kubwa zaidi ya hii gharama yake ni nusu ya hii! π€·ββοΈπ€·ββοΈπββοΈπββοΈ
Sure.ngoja nikwambie kitu bro dunia hii pesa iko nchi za kiarabu yani asikudanganye mtu na watumiaji wa pesa dunia hii ni waarabu na bahat nzuri tanzania na nchi za kiarabu zina historia kubwa, tuombe Mungu ila mambo yatakaa vzr sana
Unataka kulinganisha huo uchafu na mradi wa Dege ecco village.? Miradi kama hiyo ya Great Wal level zake mbona zipo tu hapo mjini Kigamboni.. pitia nyumba za NSSF Kigamboni πYani umeonyesha vizuuri building za GG zilizokamilika alafu unaturushia renders za Dege Eco na bado unataka kutueleza vile Dege iko juu.
Geza Ulole unaona maafisa wa Dar es Salaam port wanakuja Mombasa port kufanya bench marking. Hata wao wanajua ni port gani efficient ukanda huu.
usiseme ujinga wa putin sema ujinga wa marekani na washirika wao ndio chanzo cha vita vyote ulimwenguni koteBrent crude oil imetinga $110 per barrel. Africa tutaumia sana kwa sababu ya ujinga wa Putin.
Inaruhusiwa esp. wakiwa wanajenga SGR route kuelekea Dar port! Mombasa port can also be inefficient too na watajifunza kutokana na inefficiency yake ili wasirudie ni kama SGR Kunyaland vs electric SGR Tanzania!Geza Ulole unaona maafisa wa Dar es Salaam port wanakuja Mombasa port kufanya bench marking. Hata wao wanajua ni port gani efficient ukanda huu.
Mbona unaogopa kuonyesha Dege Eco yenyewe Buda? Mbona unaenda round in circles? Dege eco ni 7000 apartments ambazo hazijakamilika - sidhani kama mmejenga hata 3000 wakati Great wall Gardens phase 1 pekee ni 4000 apartments - hapo sijaongeza phase 2 and 3. - ishakamilika na kujaa. Iko na mall na industrial park. Meanwhile hiyo Dege Eco yako unayotaka kufananisha na Tatu ndio hii.Unataka kulinganisha huo uchafu na mradi wa Dege ecco village.? Miradi kama hiyo ya Great Wal level zake mbona zipo tu hapo mjini Kigamboni.. pitia nyumba za NSSF Kigamboni πView attachment 2136095View attachment 2136096au muongozo estate Kigamboni, au mradi wa watumishi housing Kigamboni πView attachment 2136098View attachment 2136099hii ndio fair comparison kwa great wal ..
Hahaha. Sawa hutawahi kutuona tumekuja huko kujifunza chochote. Nchi nyingi za Afrika zimegundua kwamba Mombasa port ipo mbele yao na wanakuja kujifunza ikiwemo hata Gambia ambao walikuwa Mombasa port wiki uliopita.Inaruhusiwa esp. wakiwa wanajenga SGR route kuelekea Dar port! Mombasa port can also be inefficient too na watajifunza kutokana na inefficiency yake ili wasirudie ni kama SGR Kunyaland vs electric SGR Tanzania!
Bablai ulifkir hizo picha za google Earth ndio zitafanya dege ecco village isikue city..? It's clear that mradi still upo under construction na uli stuck 2018, na kila mtu anajua humu.. na hii video mbona inaeleza kila kitu hapa π.Mbona unaogopa kuonyesha Dege Eco yenyewe Buda? Mbona unaenda round in circles? Dege eco ni 7000 apartments ambazo hazijakamilika - sidhani kama mmejenga hata 3000 wakati Great wall Gardens phase 1 pekee ni 4000 apartments - hapo sijaongeza phase 2 and 3. - ishakamilika na kujaa. Iko na mall na industrial park. Meanwhile hiyo Dege Eco yako unayotaka kufananisha na Tatu ndio hii.
View attachment 2136108
Kipi cha maana hapo unachoshinda ukisema ooh city na ni viarpartment tu? Wewe unajua city ni Nini? Nionyeshe hapo Shule, nionyeshe shopping mall, nionyeshe industrial park. In fact kufananisha hii kitu na GG ni kuidharau GG maanake hivyo vitu vyote GG inavyo kasoro shule.
Akili kidogo kama ya panyaAlafu watasema wameizidi Tz kwa km of paved roads na kuna kunguni za ki Tz zitawaunga mkono, yn tunaunganisha mikoa yote ya Tz kwa mtandao wa lami alafu wanatokea watu na kanchi kao kadogo kama mkoa mmoja wa Tz eti wametuzidi kwa km of paved roads.
Hizo case zote umetaja hapo, hazifananishiki kabisa Kati ya sisi na nyinyi.. ipo hiv km of paved roads in tz ni nyingi kuliko nchi yoyote ukanda huu, ndio maana biashara ya mabasi ya kusafirisha abiria mikoani kwa hapa bongo ni kubwa kuliko nchi yoyote, lakini moja ya sababu ni kuwa na barabara zinazopitika vizur nchi nzima .. uko kwenu ni upuuzi mtupu we all knowAkili kidogo kama ya panya
Refer to ;
USA to Russia
Kenya to Ethiopia
South Africa to lybia
Germany to Australia
Mauritius to Malawi
Kenya to Somalia
List is endless
Mwache UJINGA.mnaaibisha nchi.
Usituonyeshe hiyo video ya renders boss, tuonyeshe the real project on ground.Bablai ulifkir hizo picha za google Earth ndio zitafanya dege ecco village isikue city..? It's clear that mradi still upo under construction na uli stuck 2018, na kila mtu anajua humu.. na hii video mbona inaeleza kila kitu hapa π.. Au hauna bandle la kuangalia hiyo vid.? Ukitaka picha za juu mbona utapata tabu tatu City so ndio hii.? πView attachment 2136132sasa ni upi mradi unaonekana unamaana kwa kutumia hizo picha za google Earth.? Tony254 njoo u like na hii
Mbona surrounding areas inafanana darfur or kakuma refugee campMbona unaogopa kuonyesha Dege Eco yenyewe Buda? Mbona unaenda round in circles? Dege eco ni 7000 apartments ambazo hazijakamilika - sidhani kama mmejenga hata 3000 wakati Great wall Gardens phase 1 pekee ni 4000 apartments - hapo sijaongeza phase 2 and 3. - ishakamilika na kujaa. Iko na mall na industrial park. Meanwhile hiyo Dege Eco yako unayotaka kufananisha na Tatu ndio hii.
View attachment 2136108
Kipi cha maana hapo unachoshinda ukisema ooh city na ni viapartment tu? Wewe unajua city ni Nini? Nionyeshe hapo Shule, nionyeshe shopping mall, nionyeshe industrial park. In fact kufananisha hii kitu na GG ni kuidharau GG maanake hivyo vitu vyote GG inavyo kasoro shule.