The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Jibu zuri sn hili.nimekwambia fungua uzi wa dar vs accra alaf nitag tutakuja huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kwa uzi huu hatuwez kuvuruga na kuondoa dhumuni lolote kwasababu imetuchukua miaka 7 kutengeneza uzi huu
Hebu weka hizo estate za Ghana au fungua uzi wa Accra kama anavyosema ichoboy tuje, hakuna estate zozote za kutisha za Ghana, nmefuatilia nmeona ni ushuzi mtupu uliweka humu mzee, bado nakwambia hakuna muda mchafu wa kuongelea Accra humu au ufungue thread yako zen tukaribishe tujeTena kwenye estates ndio tumepigwa sana inaonyesha unit 100 za hamidu hapa huna ata aibu
Hata hizo estate ni ushuzi mtupu kumbe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa cha mana ulichoonesha ni hivi vi estate tu, bado endelea kuweka picha za mana ili tukubali kwamba wewe co maji mara moja na tukubaliane na hoja zako. Kwenye vi estate nadhani wametuzidi hapa EA labda Dodoma ikiisha.
Accra mpaka leo wana kipindupindu!Hebu weka hizo estate za Ghana au fungua uzi wa Accra kama anavyosema ichoboy tuje, hakuna estate zozote za kutisha za Ghana, nmefuatilia nmeona ni ushuzi mtupu uliweka humu mzee, bado nakwambia hakuna muda mchafu wa kuongelea Accra humu au ufungue thread yako zen tukaribishe tuje
Kama Nairobi.Accra mpaka leo wana kipindupindu!
Ila hela wanatuzidiAccra mpaka leo wana kipindupindu!
Kuna siku hapa watu walikua wanasema maendeleo sio majengo na barabara wakaanza kuita watu hamnazo kwa kuwa walikua wanapost majengo na miundombinu. Ila wao wakitaka kusema nchi flani ipo vizuri , Wanapost majengo na barabara hizo hizo walizokana upande mwingine, sasa tuelewe kipi? 😂Maendeleo co barabara tu, weka angle tofauti, hotels, recreational parks, health sector, etc ili nisijisumbue kuweka za kwangu hapa
Wewe utaolewa bure wewe ni hela hela hela kama demuIla hela wanatuzidi
Ila hela wanatuzidi
Nakumbuka sana tu mimi nilikua ni mmoja Kati ya hao wahanga tuliotukanwa kwa kupost majengo na barabara za China, kuna waja humu wakadai maendeleo sio barabara na majengo 😂😂 alaf hao hao wanajifu kuendelea kwa vigezo vya barabara na majengo 😂😂😂 upuuzi mtupuKuna siku hapa watu walikua wanasema maendeleo sio majengo na barabara wakaanza kuita watu hamnazo kwa kuwa walikua wanapost majengo na miundombinu. Ila wao wakitaka kusema nchi flani ipo vizuri , Wanapost majengo na barabara hizo hizo walizokana upande mwingine, sasa tuelewe kipi? 😂
Huyo jamaa ni wa kupuuzaHiyo hela waliotuzidi mbona kwa ground hamna kitu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo yale yale ya kujisifu una uchumi mkubwa wakati unategemea chalula cha msaada ili familia yako ishibe!
Wanaiga kila kitu cha Tanzania, hawana akili ya kujitegemeamnakumbuka maneno ya wakenya kuhusu V8 za CCM kipindi cha uchaguzi?
nasubir kusikia kauli zao kuhusu hiz
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila nimeangalia Coastline ya ACCRA mhhh, walichoifanyia hiyo Coastline ni majanga ya Dunia. yaani manzese ya DAR ndio itande costline yote. [emoji23]
Ghana bado sn wanachokifanya humu kina tuusan na wakenya wenzake ni goal shifting technique, wamezidiwa kuweka picha za nchi yao wanaiingiza Ghana kwenye ugomvi usioihusu, huyu tuusan aoneshe mambo ya nchi yake aachane na mambo ya Accra au afungue uzi.Ila nimeangalia Coastline ya ACCRA mhhh, walichoifanyia hiyo Coastline ni majanga ya Dunia. yaani manzese ya DAR ndio itande costline yote. [emoji23]
halafu meli zilizochakaa hupelekwa kule kama scraper!Ila nimeangalia Coastline ya ACCRA mhhh, walichoifanyia hiyo Coastline ni majanga ya Dunia. yaani manzese ya DAR ndio itande costline yote. 😂