TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Wakenya wako brainwashed kiasi kwamba wao wenyewe hawajui ka wanamawazo ya kitumwa yaani wanaona wazungu ka miungu vile... Full kupapatika ka kiuno cha mzaramoKenya ni chawa wa USA kama sio mbona USA ilivyoionea Venezuela kisa kusapotiwa na Rusia hamkufungua hilo bakuli lenu, leo hii USA anamsapoti Ukraine mnajifanya kucharuka kama mlupo aliefika kileleni
Nimeon wajinga kenya ila huu ujinga wako usipo uangalia utakuw chizi, kangalie pia currency yenu na south korea kisha endelea kuvimba na ujinga , iyo pesa yenu inamana gani kuwa na dhaman na haipa high parchesing power compare to Tsh?..akili ndogo bhna[emoji1787][emoji1787]kwani tanganyija kuna nn cha ajabu nchi maskini kama hio, an LDC country. mjaluo atatafuta nini huko, ilhali hela zenu hazina dhamana. sisi kenya tuko na kila kila kitu. hela tunazo
yani this alone
View attachment 2132373is even > thanView attachment 2132374
Duuh kwa hali hii inatupasa tuwasaidie hawa ndugu zetu,kiukweli wanatia huruma sanaa
Ata kwacha ya zambia ni kubwa sana kuliko Tsh lakini huyo huyo zambia haingizi ata pua kwetu kwenye kila kitu.kwani tanganyija kuna nn cha ajabu nchi maskini kama hio, an LDC country. mjaluo atatafuta nini huko, ilhali hela zenu hazina dhamana. sisi kenya tuko na kila kila kitu. hela tunazo
yani this alone
View attachment 2132373is even > thanView attachment 2132374
kabisa hata sisi tunaonasababu mihella yani cheddar tunazo mwanaangu.!
sijamuelewa kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nonesense
vizuriya side hustle mzee, serikali hapana iko ndani.. [emoji38][emoji38] View attachment 2132528View attachment 2132544View attachment 2132529leteni kandarasi. wowote akiitaji design, just holla we go inbox. kazi ni popote ata humu jf jadhurwah omera yawah! intie gimoro..
rudi darasani kaelimike tena,Mkuu naijua ArchiCAD. Nilikua nachoranga nyumba miaka kadhaa zilizopita lakini sikuwahi kuelewa jinsi mchoroo hufanywa detailing.
tuthibitishie kwa maelezo yakitaalam kuhusu uimara na ubora wa nguzo baina ya kazungula na tanzanite,umetumia vigezo gani vya kitaalam?In my view kuna mambo mawili yanayonifanya niamini kua kazungula lina nguzo imara kuliko tanzanite na baadhi ya vitu vilivyochangia hiyo bei kuongezeka.
1. Watumiaji wakubwa ni magari ya mizigo
2. Wana tuta la reli
Nyeri ipi hiyo unayoiongelea ni ile ambayo middle class live in bedsitters za grain silo ama kuna nyeri nyingine?Usilinganishe Nyeri na vitu za kipuzi.
Ndio hii Musoma tunayoongelea.
Hii ni kitu ya kulinganisha na Nyeri? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hata Wote inachapa hii ten nill.
Can you please respond to my question please, which influence?, Please stop crying about percentage of Tanzanians over here, JF is a Tanzanian forum, expect majority to be Tanzanians.What's making you so angry.......You tanzanians never argue with facts but emotions. You console yourselves here because 99.9% of tanzanians make up the membership over here.You even oppose your own government reports over here that some of the sober tanzanians pose to you.....then you expect us to take your arguments serious...Holy crap
Kumbe ni mlevi[emoji23]
Atabadilsha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar itakua na gari million 3 by then saivi zipo million 2.5
Kwa data toka wizara ya barabara
Kama Inakuuma toa umma weka kijiko
View attachment 2132576
Nmeleta takwimu zote hapa embu acha kuuliza maswali ya kitotoBablai hili neno rich unalitafsirije kaka.? Isije ikawa unajichanganya mwenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao ndiyo wazee wa pesa mingiKumbe ni mlevi[emoji23]
[emoji23][emoji23] sasa anavyojisifia na vtu anavyoleta unabaki unacheka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao ndiyo wazee wa pesa mingi
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Huwa nawaambia wataje county yoyote mm nitawaonesha slum, basi hawapeeendiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawana kitu zaidi ya wivu tuu hao.Unajua lakini hiyo Dar unayoitaja taja hovyo hapo ni hii [emoji116].? View attachment 2132450View attachment 2132451View attachment 2132452View attachment 2132454
Kwasababu"Combined GDP" Yao ni kubwa kuliko Tanzania(Kenyan mentality)Apoo wamechapwa kweupeee kabisaaa