Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Haya leta picha sasa ya hivyo ulivyoandika tulinganishe tuonesuper roads,super City arranged in a good manner! Sio uswazi kutapakaa machochoro!
Super malls,super everything!
Kwanza kuna kitu wanajenga inaitwa Africenter City project in Accra,kitu massive sio kitu ya kujengwa uswazini🙈😬Yani wacha tuuh ninyamaze sijui nasema nini!😂lakini Accra ni🔥🔥 ata wakafanana na England,wanajenga dwarf buildings sio lazma skyscrappers
mimi ngaenda ngusoma mimi ngataki ngubishana hapa,ama mimi ngalale,mimi ngaleti picha ata ngaleta hapa ni bure,wewe bado ngabishana na mimi,wwe ngaachia wwe #Tony #MK24 na wengine ngabishane nao,si wwe ngabisha na #Tuusan sai nguhusu Accra na yeye ngaletea wwe picha😂Haya leta picha sasa ya hivyo ulivyoandika tulinganishe tuone
Unajua lakini hiyo Dar unayoitaja taja hovyo hapo ni hii 👇.?super roads,super City arranged in a good manner! Sio uswazi kutapakaa machochoro!
Super malls,super everything!
Kwanza kuna kitu wanajenga inaitwa Africenter City project in Accra,kitu massive sio kitu ya kujengwa uswazini🙈😬Yani wacha tuuh ninyamaze sijui nasema nini!😂lakini Accra ni🔥🔥 ata wakafanana na England,wanajenga dwarf buildings sio lazma skyscrappers
We ni demu.?mimi ngaenda ngusoma mimi ngataki ngubishana hapa,ama mimi ngalale,mimi ngaleti picha ata ngaleta hapa ni bure,wewe bado ngabishana na mimi,wwe ngaachia wwe #Tony #MK24 na wengine ngabishane nao,si wwe ngabisha na #Tuusan sai nguhusu Accra na yeye ngaletea wwe picha😂
Mimi ngalala sai,ngoodnighti!
ndiyo dar hio ni🔥lakini bado haijapita Accra kubali hio,World bank ata ngasema😂😂😂Unajua lakini hiyo Dar unayoitaja taja hovyo hapo ni hii 👇.? View attachment 2132450View attachment 2132451View attachment 2132452View attachment 2132454
labda😂😂😂We ni demu.?
Unataka mwanaume .?labda😂😂😂
Haya nenda katawaze matako yako ulalendiyo dar hio ni🔥lakini bado haijapita Accra kubali hio,World bank ata ngasema😂😂😂
as in wee, KANAIRO you knw mpaka mogogosiek... hio nayo ni kali.! 😆😆 jf sihami.!with 0% tarmac....lol.My bad bro......this is like mogogosiek
Nairobi itafika 2030 haina gari million 1 kama ambavyo kunyaland haitakua na national grid 😂😂😂😂😂Munapenda ubishi usio na maana. Put in mind Ghana's population is just a half of Tanzania's and Ghana is a quarter the size of Tanzania na bado wana magari mengi kumshinda.
View attachment 2132386View attachment 2132388
Kuna ufukara Mwingine zaidi ya huu duniani?the Tanzania these fake Patriots of tz depict is completely different kwa ground......a country with a gdp per capita of only 1000 dollars is shameful.......with 28 million tanzanians still in extreme poverty...surely now.
Na badoo , unajiona mchambuzi [emoji57][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1369][emoji1369][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]Wewe fala,sijaweka pics ya Accra nimeweka pics za Abdjan na nilikuwa najibu kenge mwenzio aliyesema miji ya west hakuna inaizidi Dar..
Sasa hapo na Dar wapi kuna slums? Hao wanaweka hizo interchange ku enforce efficient transport na sio kujiskia au kusubiria jam kama Tzn.
Pia Wana Uchumi wa kufanya hivyo,Tzn haupo.
We mkenya au mtz sorry..Sielewi context ya hii Facebook post Kwa hiyo inabidi niulize. “Sherehe ya ushoga” Ndio sherehe gani? Sheria ipi inakataza sherehe? Ndio, Sheria ya Tanzania inapinga same sex relations na ndoa za jinsia moja, lakini kama sherehe haihusishi any sex and/or marriage, kosa lipi limefanyika mpaka wakamatwe? It’s not illigal to be gay in Tanzania, but it’s illegal to be in a relationship with a person of the same sex. Hawa polisi Ndio wanavunja Sheria ya freedom of assembly!
Mkuu naijua ArchiCAD. Nilikua nachoranga nyumba miaka kadhaa zilizopita lakini sikuwahi kuelewa jinsi mchoroo hufanywa detailing.MUNGU NI MKUU, ULEVI NA POMBE NILIWACHANA NAYO LAST YEAR NOVEMBER, NILIKUA NA POTEA NJIA.. [emoji848]FRIDAY NA SATURDAYS KWANGU ILIKUA SIKU ZA FULL KUJIRUSHA[emoji126][emoji1739] KWENYE VIJISEHEMU SEHEMU NA MABINTI. YANI ILIKUA NI 'MITUNGI, BLANTI NA MIKASI'. NILIKUA NNASUSIA KAZI HADI WAKUU WALITAKA KUNI PELEKA REHAB.!.. YANI MIMI SASA OF ALL THE PPLE, RAHABILITATION.!!!!! SHIDWE!.
HADI WATU HUMU JF WALINIJUA NA KUNIZOEA KAMA MLEVI. HASA USIKU WA MANANE.. LAKINI HIYO YOOOTE SAHIZI NI PAST TENSE. YANI NIMEKUA RESET SASA BACK TO FACTORY SETTINGS... AMEN AND AMEN. MUNGU HAKIKA ATIMAYE AMENIONEKANIA.. SASA NIWAKATI WAKUTAFUTA HELA HELA HELA. NAOMBA RUPURUPU ZA INSIDE JOB ATA ISHINDE MSHANDE. HADI VENYE NTAKUA NAUWA ATLEAST 30K PER DAY !, LIKE SOME OF MY FELLOW COLLEAGUES ENGINEERS.... JADHURWA YAWAH OMERA!. SASA RAILA ANAENDA KUA RAIS, SIJUI SERKALI YAKE ITAKUAJE, HOPE ITAKUA BETTER THAN YA UHUNYE.. ALETE ATA HELA NYINGI ZAIDI KWA MUUNDO MSINGI NA NEW CBC DESIGN INFRASTRUCTURE MFANO KAMA HII HAPA NIMEMALIZIA KUUCHORA TU SAHIVI 3AM COZ INAITAJIKA ON MONDAY AT 8AM NA WAKUU WIZARA YA ELIMU KUUSIANA NA UTEKELEZAJI WA CBC NEW CURRICULUM PROGRAMME. SPECS ZAKE NI TOFAUTI KIASI NA DARASSA ZA KAWAIDA HASA INTERNAL DIMENSIONS View attachment 2132491View attachment 2132493View attachment 2132521SO [emoji1669] NAHAPA KWAMBA NTAITUMIKIA INCHI HII YA KENYA KWA MOYO WANGU WOTE.. EWE MWENYEZI MUNGU NI SAIDIE
.
nakupata bro, yani Archicad uki combine na Artlantis ama Lumion for rendering, the work will be absolutely awesome. design is a very interesting field.Mkuu naijua ArchiCAD. Nilikua nachoranga nyumba miaka kadhaa zilizopita lakini sikuwahi kuelewa jinsi mchoroo hufanywa detailing.
Eti Westlands vs upanga😆Hapo westlands bila NBO towers ni ushuzi mtupu huwezi linganisha na Upanga hata kwa bahati mbaya .. Upanga 👇View attachment 2132442View attachment 2132443View attachment 2132444View attachment 2132445View attachment 2132446View attachment 2132448
View attachment 2132447