Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona alivyopagawa, njaa ya nchi anafananisha na njaa ya darasani ambayo hata cc ilitupata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vile unakuanga punguani nilijua ulitandikwa na njaa utotoni. Inaitwa malnutrition na husababisha akili ya mtoto kutodevelop vizuri na mtoto akawa punguani.🀣🀣
 
Maafisa mipango miji ni makada wa chama cha mapinguzi wamejaa upumbavu toka utosini hadi makalioni , serikali inatakiwa kuokoa cement inayo kwenda kujenga slum na nyumba mbovu zisizo faa kwa binadamu kwa kuanzisha soft ware app itakayo tumika na kila mtz atakapo kuwa anataka kujenga na kununua viwanja ,
 
Vile unakuanga punguani nilijua ulitandikwa na njaa utotoni. Inaitwa malnutrition na husababisha akili ya mtoto kutodevelop vizuri na mtoto akawa punguani.[emoji1787][emoji1787]
Huyu c alisema hanijibu huyu oneni ss nimepiga mshono kaitika mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mwambie kwanza akuoneshe modern street kama hzi hapo mombasa akijibu tu nitag [emoji1787]
na umkumbushe kua hzi ni streets na sio main roads [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Aoneshe stand ya bus tuu ya Mombasa imekaaje tuone. Akirudi ni tag na mimi pia [emoji1787]
 
Unaweza kua na point,wanaweza kua na failure zao ila hela wametuzidi...tatizo watz humu ndani hawataki kusikia icho kitu
Kwanza siwalikuw chini yetu juzii tuu, bada ya kukoopaaa na kulamba miguu beberuuu eti wametudi...sasa ngoja takwim zijazo nasisi sahiii nimwendo wa mtukuze beberu ...tutajua nani ni nani
 
Kuna vitu Mwanza vipo ila mombasa havipo lakini hakuna kitu ambacho mombasa kipo halafu mwanza kisiwepo,so mwanza ni habari nyingine ngoja miradi ikamilike utajua hujui
toyota assembling plant, mombasani

 
Kuna vitu Mwanza vipo ila mombasa havipo lakini hakuna kitu ambacho mombasa kipo halafu mwanza kisiwepo,so mwanza ni habari nyingine ngoja miradi ikamilike utajua hujui
sasa mwanza nnn kwa mombasani jameni.?
 
hadi nimecheka yangu yote.. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
kumbe tanganyika hakunanga shopping malls.. πŸ€”πŸ€”πŸ€” !!??.
mzuri kujua hivyo leo

 
Wewe ni mjinga,ni board member wa AGRA na Kazi yao ni ku support wajasiamali wa kilimo,ndio hao wamama na wengine wako kwenye agro processing.

Kilimo kwanza kwa vitendo inaendelea.

Kilimo kwanza madness again [emoji3]
That dude has been a president for atleast 10 good years,
Najua unajua Tz ni Nchi ya Kilimo,
Najua unajua the potential behind kilimo
Najua unajua tukiwa serious na Kilimo tutafika wapi kama taifa,
Najua unajua tukipata uwekezaji wa $2b kwenye Kilimo direct tutafanya mapinduzi makubwa tutalisha Africa nzima

Now tell me, what did that guy do in agriculture during his 10 years as a president..
Halafu leo amestaafu wapumbavu kama wewe thinks he can make impact in Agriculture [emoji3]
Ningekuona wa maana ungemleta hata kayanza Pinda kwenye mambo ya Kilimo, sio hao wavivu.
 
hadi nimecheka yangu yote.. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
kumbe tanganyika hakuna shopping malls.. πŸ€”πŸ€”πŸ€” !!??.
mzuri kujua hivyo leo

View attachment 2131379
Wewe jamaa unakuwa kama vile hujui kusoma kwa sasa rock city mall ni no 5 kwa hapa bongo,hiyo ni report ya 2016 now kuna malls zinajengwa na zishajengwa kila mahali ndani ya nchi hii
 
All those units are for sale and it's Kenyans who are buying them. Nyumbu zote ziko na watu ndani hapo ndani are owned by Kenyans. Zoea maisha ya dreamhouse nanii
Utafiti unaonyesha 94% of Nairobians are tenants na 4 out of 10 can't afford rent πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Useless dying monkey..

Hakuna siku sekta ya kilimo ilipata mafanikio kama wakati wa JK.Kilimo cha kisasa cha kutumia zana Bora kiluanza na watu walipenda kilimo.

Power tilker hadi tractors zikifanya Kazi,contract farming ndio ilianza,mbolea zilitolewa kwa ruzuku na mambo mengi mazuri.

Mazao yetu yalikuwa na bei nzuri.Unfortunately alivyoingia yule mwehu wenu kila kitu kiliharibika.

Wizara ya kilimo ilikuwa ignored na ndio kipindi bei za Mazao ziliharibika, migogoro na majirani na akavuruga na biashara ya wanunuzi wa korosho,mbaazi na ufuta.

Tulipata hasara kubwa Sana kama Taifa kuongozwa na kichaa, nadhani ccm hawatarudia tena lile kosa..

Saizi Samia anahangaika upya ku restore the working economy,the glory of Tanzania.

Watu kama Mwendazake ni war mongar wasiojali utu kama Putin,Hitler and the likes.Rais aligombana na kila jirani ila kwa sababu yeye alikuwa anakula jasho letu wala hakujali,Bora Mungu kampenda tumepumua as a region.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…