Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Most developed city isiyokuwa na BRT, electric train wala tram ndiyo kwanza naskia kutoka kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mimi namshangaa sijui anazungumzia development gani. The city haina hata maps za transport networks sijui wageni wana navigate vipi Nairobi au ndio mpaka umlipe mtu wa kukuongoza?
 
Hata mimi namshangaa sijui anazungumzia development gani. The city haina hata maps za transport networks sijui wageni wana navigate vipi Nairobi au ndio mpaka umlipe mtu wa kukuongoza?
Nairobi ina makosa ya kiufundi mengi sn ila ndiyo wamejua miaka ya hivi karibuni baada ya kuanzishwa battle hii.
 
Nairobi ina makosa ya kiufundi mengi sn ila ndiyo wamejua miaka ya hivi karibuni baada ya kuanzishwa battle hii.
Mfano mdogo tu Nairobi ni miongoni mwa majiiji machafu zaidi barani Africa, pili ni miongoni mwa majiiji yenye slums nyingi duniani, yn mzungu ukimtajia Nairobi basi ukae ukijua picha ya kwanza itamjia slum baada ya hapo itakuja wizi, mwisho ndiyo zitakuja sura za watu weusi wembamba waliovaa vichupi huku wakikimbia.
 
ila wakenya, for different kinds of reasons mnatia huruma sana [emoji23][emoji23][emoji23] kila sehem matatizo[emoji1787][emoji23][emoji23]
Wakenya wana maisha magumu kuliko mawe, we angalia hata hawa tunao battle nao humu wengi wao hawana makazi maalum yn km yatima jinsi walivyo wanyonge, kitu pekee wanachotamba nacho ambacho wenyewe ndiyo uwanja wao wa kujifariji ni broken English baasii.
 
Ni sahihi kusema wachina wamewapa muonekano mpya Maana expressway wametoa hela na izo majengo pia wametoa hela
Hizo majengo zote hapo nyuma hujaona, ni GTC tu ndio umeona?!
 
Hata kule kwenye meli mza kulikuwa na wanajeshi kibao ila kwa sasa hata jeshi lenyewe limeacha kumtembelea miradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…