Shoddy works maana hakuna mvua za kutisha hapo ila base ya pillar ime give way.Mnaona Madhara ya kutumia matofali badala ya MSE Walls kujenga pillars za structures! Overpasses and interchanges hizo zinameguka na kuenda kama uyoga! Hivi nyie zero percent brain kuna kitu gani mnajua?
CC: Teargas, Tony254, komora096 , NairobiWalker, KENPAULITE n KANAIRO
Sasa mbona vitu kama hivyo dar vipo vingi . Hii ipo kinyerezi mbali na city centerAsyana Gardens, Ongata Rongai. Such a nice chill out place! View attachment 2129991View attachment 2129994View attachment 2129995
Kwani ni lazima kila kitu hapa iwe ni mashindano? Are you for real nigga?Sasa mbona vitu kama hivyo dar vipo vingi . Hii ipo kinyerezi mbali na city center View attachment 2130002View attachment 2130004View attachment 2130010
😂😂😂 Eti mtungi wa komoniHii treni ya majaribio ya mkandarasi a.k.a mtungi wa komoni ni mzuri mara 1000 ya huu mtungi wa chang'aa.View attachment 2130015
Kupanda majani kwenye nguzo za Flyover au.?
Has Tanzania ever done something like that before?Kupanda majani kwenye nguzo za Flyover au.?
Mtungi wa chang'aa ni garimoshi mzee huo wa Mkandarasi hautokoti ni nguvu za electromagnetic unatumia umeme! Hauwezi kuwa mbaya zaidi ya garimoshi la sgr Kunyaland!Hii treni ya majaribio ya mkandarasi a.k.a mtungi wa komoni ni mzuri mara 1000 ya huu mtungi wa chang'aa.View attachment 2130015
Iwuok Tanzania gi kon mane?Naijua vizuri sana,mama na baba wote waluo ntaachaje sasa kuifahamu lugha ya nyumbani japo nimezaliwa mjini
Most developed city isiyokuwa na BRT, electric train wala tram ndiyo kwanza naskia kutoka kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Another unmarked road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna infrastructure ipo Nairobi ikakosa Dar ila kuna infrastructures zipo Dar huwezi kuziona East and Central Africa.
Kukosa hizo ghorofa tatu za mchina ungepost nn ili ufananishe na upanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Westlands that Tanzanians are busy comparing with places like Upanga View attachment 2130037
Kwanza imeharibu muonekano mzr, kuna mkunya kawahi kusema humu mana nilidhani ni mm pekeangu.Kupanda majani kwenye nguzo za Flyover au.?