Thumbnail pekee ni trash. Hakuna haja ya kufungua hio video nione mediocre stuff.Mwanza 30 kilometers from CBD looks beautiful than nairobi 10 kilometers from CBD
Halafu acheni kujiita green city under the sun in front of Mwanza
Hamtakaa muwe na streets kama hizi za Mwanza Nairobi mpaka dunia inaisha
Kisumu is better than Arusha.Kisumu unawezana na ARUSHA.?
Akili yako fupi sana, ishu sio crane bali ni upana wa foundation na urefu wa crane which means kuna mradi wa majengo kama ya hospital or any other servicesYani huko kwenu Dar kuona crane ya ujenzi in a residential area is such a big deal?! 😂 😂 *****!
😂😂😂😂 Ukweli ni kwamba umefungua na umeona namna Mwanza ilivyo mbali kushinda Nairobi, Nairobi ni main roads tu ndio at least improved wakati Tanzania mpaka neighborhood streets zipo improved mpaka taa za barabarani zipo na sasa ni compulsory huwezi kujenga barabara yoyote bila kuweka street lights na sidewalksThumbnail pekee ni trash. Hakuna haja ya kufungua hio video nione mediocre stuff.
Tuoneshe hiyo 30+KM distance, maana google inatuambia sehemu iliyojengwa mbali na Nairobi Central ni maxmum of haizidi 23KMIf it's about distance then take a look at Athi River and Kitengela below, 30+ kms from the cbd then compare with the isht you are posting here and shamelessly calling dreamhouses View attachment 2128635View attachment 2128637View attachment 2128638View attachment 2128639View attachment 2128640View attachment 2128641View attachment 2128642View attachment 2128643View attachment 2128644
Kwani Kitengela na Athi River haziko Kenya?Tuoneshe hiyo 30+KM distance, maana google inatuambia sehemu iliyojengwa mbali na Nairobi Central ni maxmum of haizidi 23KM
View attachment 2128702
Dah!, haka ni katown aisee
Thanks for posting stolen pictures and drawings.the real snake [emoji216]
View attachment 2128704
Hii project moja ya mchina ndio inashindana na kila project zote za bongo . Waswahili wanasema ukimuiga tembo utapasuka .....
😀 If that is the case then sisi tuna Mtumba 400KM from PostaKwani Kitengela na Athi River haziko Kenya?
Bongolala, umeandika insha refu sana but I just want to ask you one simple question. Naona umesema Masaki is two times bigger than Karen. Well, Karen is 56 square kilometresHivi we jamaa Nicxie hauoni aibu kuitaja Karen mbele ya masaki.? Kwaakili zako timamu, Karen can beat Masaki.? 😂😂, Acha ufala huijui masaki hujawa fika Dar uwe unakaaga kimya..
1.Masaki is larger than Karen 2×
2.Masaki has bigger number of paved roads than Karen
3.Masaki ipo pembezoni mwa bahari (this makes it more beautiful)
4.Masaki sio residential buildings tu kuna kila kitu hadi yatch parking, office buildings, shopping centers, hotels, conference centers and them luxurious buildings
Siku zinavyozidi kwenda Masaki ndio inazidi kuwa modern, hata nyumba za zamani (nyumba za wenyewe) zinatolewa na kujengwa mpya.. inshort masaki ni level nyingine kabisa.. Karen is nothing to Masaki, ishindane kwanza na Fumba town Zanzibar, Masaki ni developed posh estate in the region, Karen ndio kwanza viwanja vinauzwa hadi sasa 😂😂😂 mapori kibao na barabara za matope
Ona Masaki hii 👇
View attachment 2128557View attachment 2128563View attachment 2128565View attachment 2128567View attachment 2128569heb cheki mitaa mizuri ya kupendeza 👇.. barabara kali za kupendezaView attachment 2128574
Heb nikutoe tongo tongo kidogo 👇View attachment 2128610View attachment 2128611View attachment 2128612
View attachment 2128613
Tzn GDP is $ 73bWakenya tz gdp ni $69b as per last yr review...mbona mmekomaa na $65b?
Hapana Tz GDP is $500T. In fact, Tz is the most advanced economy in the world.Tzn GDP is $ 73b
Hata hiyo HDI unayotaja hapa si tumewashinda!GDP and Gdp per capital hazina uhusihano na health...
Labda HDI na HDI ina components nying na hio ni data ya 2019 ..plus GDP ya Tz sio 65 ni 69bn na Per capital 1150